tramadol
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 5,383
- 4,317
Kuna maneno mengi huku mitaani kuhusu anachoongea Tundu Lissu kila kukicha kwa mustakabali wa Uhuru wa kutoa maoni na suala zima la Demokrasi nchini.
Kufuatia kukamatwa kwake jana na Polisi Airport akielekea Kigali Rwanda kwenye Mkutano wa Kimataifa basi kama kweli Tundu Lissu anachokifanya ni muhimu sana kwa nchi nategemea mawakili na wanainchi na wapenda maendeleo na Hali Tanzania wataanzisha Vuguvugu la maandamano ya AMANI ya kumsapoti Tundu Lissu.
Kinyume na hapo ni USALITI na UNAFIKI kwa Tundu Lissu tukijifanya tunampenda na kumsapoti kumbe tunamzomea MOYONI.