Kama kweli wapinzani wanataka mabadiliko basi lazima wawe ndani ya serikali ya CCM

Wanasiasa wanaojiita wa upinzani ni wajinga sana.ndo mana watu wanakimbia upinzani.
Hahaha! Hakuna Mwanasiasa Mjinga Hata Siku Moja. Wanasiasa Wajanja Sana, Wajinga Wanabaki Kuwa Wananchi Wa Kawaida Ambao Kila Siku Wanaweka Mategemeo Yao Kwa Wanasiasa Na Kuwapigia Mapambio Ya Sifa, Wakishapewa T- Shirt Na Khanga Wanaridhika Huku Maisha Yao Yakizidi Kuwa Duni!
 
Hao unaowataja wenye sifa hizo ni CCM na huo ni katika ujanja wao ndiyo maana wanachukua kila siku.na ndiyo mana nikasema wa upinzani wajinga wanazidiwa kete na wajanja(CCM)

Waupinzani ni wajinga kwa sababu madai yao yako tofauti na vitendo vyao.
 
Hahaha! Nina Mashaka Na Uelewa Wako Wa Siasa. Inaonekana Na Wewe U Miongoni Mwa Hao Wananchi Niliowataja!
 
Kama unaitikadi tofauti na Ccm na huna njaa nivema ubaki upinzani huku uking'ang'ana hoja yako kusikilizwa na itikadi yako kuchaguliwa. Iwapo shida ni vyeo basi unaingia tuu chama tawala na makiki meengi utafanikiwa. Anything is possible in this world.
 
Ukishaingia ccm basi na akili inabadilika,unaanza kufikiria na kutenda kama wao!
Angalia hata maprofesa,wakishaingia ccm akili wanaweka mfukoni!
Angalia Hpolepole msimamo wake juu ya katiba kabla na baada ya kula shavu ccm!Utagundua ni vitu viwili tofauti!
Mtanzania muwekee chakula tumboni,tumbo litafikiri badala ya kichwa!
 
Sasa ndo wajijue hawawezi mapinduzi.lazima wawe na roho ngumu mkuu.kubaki upinzani basi ni njia ambayo haitakuja kuzaa matunda.

Kama wanabadilika ni dhaahiri uzalendo wao hauko moyoni uko kwenye vyama.
Aliyekuwa na uzalendo moyoni habadiliki ovyo madhali tu anajua lengo lake na matarajio yake ni nini.

Sio jambo linalotaka mwaka mmoja au mitano,ni jambo linataka hata miaka 20 kama maalim seif
 
I

Kuna tawala zilikuwa zinatisha lakini zikaanguka!
CCM muda wake utafika tu!
 
Wakuu habarini za Muda.
Moja kwa mojaaaa ni hivi:

Ninachokisema kwamba suala la mabadiliko wanayoyataka watu wa upinzani kuhusu utawala wa CCM ni kwamba hawawezi kuleta mabadiliko kirahisi kama watu wanavyofikiria.

Yawe mabadiliko ya chama: yaani kitawale chama kingine kinyume na CCM madarakani,hili jambo sio rahisi na hata wao wapiga debe wanajua ni jambo gumu kama haliwezekani kabisa,dunia inaenda hii tokea mfumo wa vyama vingi uanze kwamba watu hawajaamka tu?.

Au yawe mabadiliko ya mfumo wa utawala ambao wanaamini serikali ya CCM ndiyo chanzo cha utawala mbovu,hakuna maendeleo makuuuuubwaaaa,hili pia haliwezekani ikiwa watu wanandoto ya kufanya mabadiliko nje ya serikali ya CCM.

Nilishasema kwamba ni jambo gumu kama sio haliwezekanii,chama kingine kushika madaraka ya juu (Urais)na sidhani kama itakuja kutokea.

Sasa ikiwa wewe kweli ni mwanaharakati basi JIUNGE NA CCM ukishajiunga utakuwa ndani ya serikali tawala ambayo inamamlaka makubwa,baada ya hapo sasa mtagombea nafasi mbali mbaliii ukiwa bado mwana CCM mpaka siku za mbele atakuja kupatikana Rais ambaye alitoka chama cha upinzani.

Ukiwaza kwamba serikali ya ccm haiwezi kumpa urais mtu ambaye asili yake katoka upinzani,basi uwaze pia kwamba jee watakubali kumpa urais yule aliyekuwepo katika chama cha upinzani kabisa?

Utakuja kujua kwamba njia ambayo inaleta matumaini kidogo ni hiyo ya kuhamia CCM tu na sio nyingine.

Ikiwa kama kweli watu wanania ya kuibadili Nchi Iwe katika mfumo mzuri vipi sasa wanaotaka kuibadili nchi waone tabu kuingia katika njia ambayo ndiyo raisi sana kufikia katika usukani wa mabadiliko(CCM)?

NDIYO maana watu wenye akili wanahama vyama kwa sababu vya pinzani vina mgongano haviwezi kusimama imara kama CCM.

Kumbuka CCM ni moja tu,mtu hata kama hakumpenda kiongozi ambaye kasimamishwa na CCm katika awamu fulani basi ataipigia kura CCM kwa sababu ni moja tu,ila upinzani sasa.

Alafu inakuwaje upannzani unakuwa ni vyama vingi? Ukiona kuna upinzani zaidi ya chama kimoja basi jua kwamba hata wao wapinzani wenyewe kwa wenyewe wanapingana,jambo ambalo itakuwa ngumu kumpinga mwenyewe.ili tuone kama wapinzani kweli kisimame kitu kimoja .

RAIA 100 vyama vitatu.CCM akichukua asilimia 40% tu,Upinzani A na B watangawana iliyobaki.sasa utaona kwamba wapinzani wana kazi kubwa ifuatayo.

Kwanza wanakazi Ya kushinfdana wenyewe kwa wenyewe ili aibuke mpinzani mmoja tu ambaye ataweza kuiangusha CCM.

Pili wanakazi ya kushindana na CCM ambao ndiyo huibuka kinara katika nyadhifa za juu kila MWAKA.

Haoa ndipo shida inapokuja.watu wenye akili wanahamia CCM wakati huo upinzani uchwara wamebaki katika upinzani.

Mpinzani aliyehamia CCM hana kszi ngumu kama yule mpinzani ambaye yuko katika chama chake.

Nendeni mkajazane huko CCM mchukue madaraka.

Ni sawa kwamba mnataka kuvamia ngome ya maadui na kuuwa watu wa humo kisha muiteke ngome hiyo.

Unadhani kubaki nje tu mkipiga mawe ngome hiyo mtafanikiwa?

Mkipiga bomu mtabomoa ngome waakati huo ngome nayo mnaihitaji muiteke iwe chini yenu.

Lazima mutafute njia yeyote Muingime ndani mujue mazingira yakoje,wapi pa kujificha na vitu kama hivyo.

Wanachofanya wapinzani ni kutaka kuvamia na kurteka ngome(serikali)ya maadui(CCM) wakati bado wapo nje ya ngome hiyo.ni jambo haliwezekani.

NDIYO MANA SINA MUDA NA KUJIFANYA MPINZANI KABISA KWA SABABU NI PROPAGANDA.
Kwa binduki ni kweli. Lakini jela ni jela tu, hata kama hakuna njaa.
 
Back
Top Bottom