Kama kweli wabunge wa CCM ni wazelendo kwa hili muungeni mkono Zitto

pamoja na wezi kuita nch shamba la bb na kuiba wapendavyo lakin kipind cha pinda vimezidi maana ni kuanzia juu mpk kwa mtendaji wa kijiji
 
Jamani wana jamvi samahani kwa kuuliza, kwanini Zitto amekuja na suala hili la kumpigia kura ya kutokuwa na imani na PM?. Pinda amefanya nini kibaya?.
 
Ukiongeza na
20. Sakaya
21. Sita
22. Mwakyembe
23. Mwandosya.
70 zimefika jamani, VoNoCo itapigwa hatimae.
Tatizo ni kupata kura za nusu ya wabunge ili kumpiga chini PM.

Kama kura zitapigwa kwa siri na kuhesabiwa hadhari basi nusu itapatikana. Lakini kama zitapigwa hadhari na zika hesabiwa hadhari (wanosema ndiyo...ndoyooo, wanasema hapana.....) na kuhakikishia hata robo ya wabunge haitapatikana.
 
huu ni mtego kwa wabunge wa ccm na kwa wale baadhi waliopiga kelele na kujifanya wazalendo ndo tutawajua kwa uzuri misimamo yao na sifikirii kama linaweza kutokea hili japo linawezekana
 
Hapa hakuna cha kumuokoa PM, jamani mmesahau suala la madaktari alivyolikoroga mwanzo na madhara yaliyotokea? PM ni wakutimuliwa tu, na hao mawaziri wengine ambao wanazidi kutuongezea madeni. Nasikia mpaka mjukuu wangu ambaye hajazaliwa anadaiwa...! hii ni hatari, lazima tukomesha hali hii kwa namna yoyote inayofaa.
 
Jamani wana jamvi samahani kwa kuuliza, kwanini Zitto amekuja na suala hili la kumpigia kura ya kutokuwa na imani na PM?. Pinda amefanya nini kibaya?.

Zitto amekuja na suala hili la kumpigia kura ya kutokuwa na imani na PM kwa sababu Pinda hakufanya kitu!
 
Kama kura zitapigwa kwa siri na kuhesabiwa hadhari basi nusu itapatikana. Lakini kama zitapigwa hadhari na zika hesabiwa hadhari (wanosema ndiyo...ndoyooo, wanasema hapana.....) na kuhakikishia hata robo ya wabunge haitapatikana.
Nadhani wabunge wanatakiwa kutia sahihi, so it will be a secret exercise. Ila wabunge wa magamba ni wanafiki sana
 
Jamani wana jamvi samahani kwa kuuliza, kwanini Zitto amekuja na suala hili la kumpigia kura ya kutokuwa na imani na PM?. Pinda amefanya nini kibaya?.

simple ni 'maji zima moto, moto choma fimbo, fimbo chapa mtoto aende shule' hope unaikumbuka hii story.
 
Jamani wana jamvi samahani kwa kuuliza, kwanini Zitto amekuja na suala hili la kumpigia kura ya kutokuwa na imani na PM?. Pinda amefanya nini kibaya?.

Samahani ndugu nenda haja ndogo ukalale kwanza wenda akili zikarudi
 
wadau wa jf tunahitaji kufaha idadi wa wabunge tu nje ya cdm watakaomuunga mkono mh zito ili hoja yake iweze kupita na kumpumzisha mtoto wa mkulima aliyetekwa na kuponzwa na maf.sa.i
1-49 CHADEMA
50. MBUNGE WA LUDEWA
51 MREMA
52 CHEYO
53. KAFULILA
54.MKOSAMALI
55.
56
57
58
59
60
61
62
63
64
65
66
67
68
69
70.
 
wadau wa jf tunahitaji kufaha idadi wa wabunge tu nje ya cdm watakaomuunga mkono mh zito ili hoja yake iweze kupita na kumpumzisha mtoto wa mkulima aliyetekwa na kuponzwa na maf.sa.i
1-49 chadema
50. Mbunge wa ludewa
51 mrema
52 cheyo
53. Kafulila
54.mkosamali
55.zambi
56
57
58
59
60
61
62
63
64
65
66
67
68
69
70.

55.zambi
 
62. Lusinde. Tena akitia saini yake atamalizia na KUDADADEKI.
 
wabunge wote wa CCM wanaopiga kelele kuchukia ufisadi NOW IT IS TIME TO STAND UP AND BE COUNTED na kuonyesha hasira kwa vitendo.
 
Kupata kura 70 si kazi kwani kwa hesabu zet tayri kuna kura 48, kazi ipo kwenye kupata kura 22.
CCM hata wasipotoa kura hizi bado wabunge wengine wa upinzani (CUF,UDP, TLP na NCCR wanazidi idani hiyo. Sasa issue ni mkakati wa kuwashawishi hao kwani kambi ya Upinzani haina ushirikiano.

Cha msingi ni wananchi kuwashinikiza wabunge wao kupitia njia za mawasiliano zilizopo, na wapigakura wake wafuatilie kuona kama aliwasikiliza kwani watakaounga hoja hii Mkono tutawajua kwa majina.
Tatizo nilionalo mimi ni ile 51% ya kura kama hoja ikipitishwa. Hata hivyo wakulaumiwa ni watanzania, kwani wao ndio waliowachagua wabunge wengi wa CCM, na hili litakuwa ni fundisho tosha
Watanzania waliwakataa magamba lakini wakachakachua, walaumu watanzania kwa kushindwa kulinda kura, ila somo walilopata toka Arumeru lakulinda kura limewaingia
 
Back
Top Bottom