Kama kweli unatetea wanyonge kwanini unatembea na uzio wa chuma? unawaogopa wanyonge?

Kenge kabisa.. hivi ulinzi wa rais unahusianaje na unyonge wake..? Mambo mengine huitaji hata kujisumbua sana.hivyo asilindwe na vyuma ili huo unyonge wake umuadhibu kwa kifo..? Kuwa kwenye fumbo la kutokumjua adui yako ndio matokeo ya ulinzi huo.. ni sawa na kutumia kondom ni kwamba huna Imani na mwenza wako ama unalinda kitu fulani
Huko ndo kuishi kwa fumbo
 
Huwa mnakosa mada za kuandika? Hivi ulinzi wa rais unakukela nini?
Tangu aingie madarakani amekuwa na ulinzi wenye mbwembwe nyingi kama ule wa nduguye kagame.

Haishi kujinasibu kwamba anawatetea wanyonge. chakushangaza anatembea na uzio wa chuma kukaa mbali na wanyonge.

Kijana wa makambako alipigwa sijui kama yu mzima kwa kuusogelea uzio wa chuma xha mtetezi wa wanyonge

Kama kweli anatetea wanyonge ule uzio ni wanini? anaogopa wanyonge

Ghiriba hizo. unawapora korosho zao kisha unadai unawatetea

Serikali ya ma live tv Show
 
Katika kuwatetea wanyonge, kuna manyang'au na biraka wao kama wewe waliozoea kufyonza damu za wanyonge; hivyo ni busara kujilinda nao. Na kwa post hii, inonesha mnavyohaha na ulinzi uliopo.
 
Kenge kabisa.. hivi ulinzi wa rais unahusianaje na unyonge wake..? Mambo mengine huitaji hata kujisumbua sana.hivyo asilindwe na vyuma ili huo unyonge wake umuadhibu kwa kifo..? Kuwa kwenye fumbo la kutokumjua adui yako ndio matokeo ya ulinzi huo.. ni sawa na kutumia kondom ni kwamba huna Imani na mwenza wako ama unalinda kitu fulani
Huko ndo kuishi kwa fumbo
raisi wa kwanza wa zanzibar aliuwawa 1972 mbona dr.shain halindwi na uzio?
mikelele yoote tangu 2015 hakuna FISADI aliyehukumiwa jela
 
Kiukweli ule ulinzi si wa mtu mwenye nia njema, kuna mambo nadhani anayafanya yanayomfanya ajilinde kiasi kile.
Unapomdhihaki mtu kama Lisu kwa madhila yale yaliyompata unategemea nini kama siyo kujizungushia ukuta wa chuma?!!!
 
Back
Top Bottom