Kama kweli unamacho

Yomakon

JF-Expert Member
Oct 12, 2016
638
679
Kama kweli unamacho hebu nambie umeona nini kwenye picha hiyo
ad2464296a2e933e638978d930cef9e4.jpg
 
Pemben kulia ambapo kuna waya wa feni ulioshuka chin na wa chaji ya simu...uki'zoom in utaona macho ya mwanaume tena black American guy anaangalia kamera. Alifichwa chini,though iyo picha ni ya kutengenezwa
we mkali sana aisee
 
salute kwako ndugu
 
Back
Top Bottom