Mkuu we si umesema katiba ni kitu kinachochukua muda mrefu ...kwamba muda tulionao hautoshi....ndiyo nakuuliza mida upi ?What do mean by muda mrefu?

South Africa wana street violence na xenophobic conflicts kuanzia mwaka 2014.Ninasoma na ninaangalia ila sijaona kama kuna vita South Africa au Kenya
Nenda ukatembee, ukirudi salama ni majaliwaSouth Africa na Kenya hakuna amani?
Sioni kitu humuSouth Africa wana street violence na xenophobic conflicts kuanzia mwaka 2014. Maisha ya indigenous people ni ya ufukara wa hali ya juu despite utajiri wote ule.
Kenya mwaka 2008 waliuana baada ya uchaguzi kwenye maeneo ya Kericho, Rift Valley na Central province
Siyo nikatembee bali naishi huko sijaona uvunjifu wa amani unaosababishwa na katiba zao!Nenda ukatembee, ukirudi salama ni majaliwa
Ndio maana tunasema kuanza kwa Tume huru tayari umegusa katiba Mpya.Baadhi ya maneno ya kuangaliwa ni kupunguza madaraka ya rais juu ya teuzi hasa za mawaziri. Ili kujenga taifa la kiwajibikaji lazima mawaziri wawe na mkataba wa ajira na wakivurunda wanatimuliwa.
Tume ya uchaguzi iwe huru na matokeo ya Urais yaweze kupingwa mahakamani.
Mahakama ziwe huru na watu wawe na uhuru wa kudai haki zao bila kuwa na kikwazo cha aina yu yoyote. Majaji wawe wanaomba kazi kama waajiriwa wengine.
"Katiba ni jambo la muda mrefu, katika kipindi cha kati tukayafanyie maboresho yote tuliyoyasema, halafu huko mbeleni tuone kuna haja ya kurekebisha katiba yetu, pengine kutakuwa na haja tu ya kurekebisha baadhi ya maeneo na si kuandika katiba mpya" Mhe. Rais
Haya yalishapita imebaki historia. Waliamua kucha ujingaSouth Africa wana street violence na xenophobic conflicts kuanzia mwaka 2014. Maisha ya indigenous people ni ya ufukara wa hali ya juu despite utajiri wote ule.
Kenya mwaka 2008 waliuana baada ya uchaguzi kwenye maeneo ya Kericho, Rift Valley na Central province
Kwani unayo macho ya kuongea?Sioni kitu humu
Sababu za kukataa kuandika katiba mpya ni zipi?Baadhi ya maneno ya kuangaliwa ni kupunguza madaraka ya rais juu ya teuzi hasa za mawaziri. Ili kujenga taifa la kiwajibikaji lazima mawaziri wawe na mkataba wa ajira na wakivurunda wanatimuliwa.
Tume ya uchaguzi iwe huru na matokeo ya Urais yaweze kupingwa mahakamani.
Mahakama ziwe huru na watu wawe na uhuru wa kudai haki zao bila kuwa na kikwazo cha aina yu yoyote. Majaji wawe wanaomba kazi kama waajiriwa wengine.
"Katiba ni jambo la muda mrefu, katika kipindi cha kati tukayafanyie maboresho yote tuliyoyasema, halafu huko mbeleni tuone kuna haja ya kurekebisha katiba yetu, pengine kutakuwa na haja tu ya kurekebisha baadhi ya maeneo na si kuandika katiba mpya" Mhe. Rais
Watanzania walishatoa maoni yao kuhusu wanachokitaka kwenye katiba.Baadhi ya maneno ya kuangaliwa ni kupunguza madaraka ya rais juu ya teuzi hasa za mawaziri. Ili kujenga taifa la kiwajibikaji lazima mawaziri wawe na mkataba wa ajira na wakivurunda wanatimuliwa.
Tume ya uchaguzi iwe huru na matokeo ya Urais yaweze kupingwa mahakamani.
Mahakama ziwe huru na watu wawe na uhuru wa kudai haki zao bila kuwa na kikwazo cha aina yu yoyote. Majaji wawe wanaomba kazi kama waajiriwa wengine.
"Katiba ni jambo la muda mrefu, katika kipindi cha kati tukayafanyie maboresho yote tuliyoyasema, halafu huko mbeleni tuone kuna haja ya kurekebisha katiba yetu, pengine kutakuwa na haja tu ya kurekebisha baadhi ya maeneo na si kuandika katiba mpya" Mhe. Rais
South Africa wana street violence na xenophobic conflicts kuanzia mwaka 2014. Maisha ya indigenous people ni ya ufukara wa hali ya juu despite utajiri wote ule.
Kenya mwaka 2008 waliuana baada ya uchaguzi kwenye maeneo ya Kericho, Rift Valley na Central province
Yaani katiba nzima mnawaza madaraka ya Rais kama vile ndio yanakwamisha maendeleo ya nchi hii kuna nchi nyingi tu madaraka ya Rais ni makubwa na bado nchi inasonga mbele na pia Rais anaheshimu anaheshimu katiba na vyombo vyakeBaadhi ya maneno ya kuangaliwa ni kupunguza madaraka ya rais juu ya teuzi hasa za mawaziri. Ili kujenga taifa la kiwajibikaji lazima mawaziri wawe na mkataba wa ajira na wakivurunda wanatimuliwa.
Tume ya uchaguzi iwe huru na matokeo ya Urais yaweze kupingwa mahakamani.
Mahakama ziwe huru na watu wawe na uhuru wa kudai haki zao bila kuwa na kikwazo cha aina yu yoyote. Majaji wawe wanaomba kazi kama waajiriwa wengine.
"Katiba ni jambo la muda mrefu, katika kipindi cha kati tukayafanyie maboresho yote tuliyoyasema, halafu huko mbeleni tuone kuna haja ya kurekebisha katiba yetu, pengine kutakuwa na haja tu ya kurekebisha baadhi ya maeneo na si kuandika katiba mpya" Mhe. Rais
Hakuna cha kuwa mbali hebu tafuteni katiba ya UAE au brunei kama mfalme wao ana mafarka kiasi gani mbona nchi inasongaumesema vema na tena ukweli wa mungu. Hakika kama uyasemayo yakifanyika kama upendendekezavyo basi Tanzania itakuwa mbali saaana kimaendeleo kupita dernmark na Uafransa.neno mchakato wa katiba lisitumike ila tukopi tuu katiba ya Israel, India,Brazil na Ukraine ili kuokoa fedha nyingi za kutafuta maoni. kitendo cha kutafuta maoni kwa wananchi utakuta wengi wao hawajui kuwa katiba ndo ijengao Taifa imara ukijumulisha na utashi wa raisi.India ina katiba nzuri sana kupita nchi zote za Asia , Hivyo nani alibuni katiba yao nzuri? utakuta watu wachache tuu walioona mbele kimaslahi ya Taifa lao. hata USA wao George washing ton na wapambe wake wachache alitunga katiba imara ilowapa usafu mwamba wa dunia mpaka leo.
Kwa hiyo tupate Katiba kwa kupigana kwa vile Wamarekani walipigana wakapata katiba yao?? This is INSANEMbona huku kulikuwa na mauaji ya kiholela Kibiti, watu wasiojulikana si walikuwepo hadi juzi tu.
Tanzania ni mafukara kuliko South Africa, South Africa ni nchi ya uchumi wa kati wa juu na iko jumuiya ya nchi zenye chumi kubwa zinazoibukia ya BRICS(Brazil, Russia, India, China na South Africa).
Kupigana hata US walipigana sana wenyewe kwa wenyewe na Katiba yao ya sasa wakati wanasimika demokrasia yao ambayo ni bora zaidi duniani
South Africa wana street violence na xenophobic conflicts kuanzia mwaka 2014.
Maisha ya indigenous people ni ya ufukara wa hali ya juu despite utajiri wote ule.
Kenya mwaka 2008 waliuana baada ya uchaguzi kwenye maeneo ya Kericho, Rift Valley na Central province
Mchakato! Itapatikanaje? Kupitia Referendum au wabunge waliopo sasa hivi? Na utayari wa serikali tuliyonayo uko vipi?Usiturudishe nyuma tunataka KATIBAAA MPYAAAA
Tunataka katiba Mpya. Mambo mengine ni janja ya nyani tu.Baadhi ya maneno ya kuangaliwa ni kupunguza madaraka ya rais juu ya teuzi hasa za mawaziri.
Ili kujenga taifa la kiwajibikaji lazima mawaziri wawe na mkataba wa ajira na wakivurunda wanatimuliwa.
Tume ya uchaguzi iwe huru na matokeo ya Urais yaweze kupingwa mahakamani.
Mahakama ziwe huru na watu wawe na uhuru wa kudai haki zao bila kuwa na kikwazo cha aina yu yoyote.
Majaji wawe wanaomba kazi kama waajiriwa wengine.