Kama kweli tuna uchungu kwanini tusiwe tunalia kila wakati tusikiapo matangazo ya vifo redioni ?

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Kufa ni kitendo ambacho hakuna atakayekikwepa.

Mara nyingi huwa tunalia ndugu zetu tunaowafahamu wamekata roho. Hatulii uchungu bali tunalia kwasababu marehemu anakuwa mtu ambaye unamfahamu au uliwahi kumuona. Na kinacholiza watu ni suala la mtu 'kutangulia' mbele za haki. Kwamba fulani anatangulia ananiacha mm huku duniani.

Ingekuwa kweli tuna uchungu baina yetu lazima tu tungekuwa tunashusha machozi kwa majonzi kila tunaposikia matangazo ya vifo kwenye redio ama televisheni.

Hatuependani kabisa . Tuache unafiki.
 
Back
Top Bottom