Kama kweli sisi ni wacha Mungu, tufute hii Mada Shuleni!

Hujasoma kwanini twiga shingo yake ilikuWa ndefu?
Shingo ya Twiga kuwa ndefu ni Uumbaji wa Mungu na si zile haditi ulizozisoma chekechea.

Unataka kunishawishi kuwa kuna uhusiano kati ya shingo ya Twiga kuwa ndefu na kanuni ya kutumia na kutotumia?
.

Naomba uniambie unachotaka kunieleza, Logically please.
 
Tuache unafiki kama kweli sisi ni wacha Mungu na tunaamini Mungu yupo, basi tuache kuwafundisha watoto wetu Darwin's evolution, tufute hii Mada, kinyume na hapo ni unafiki tu na kukesha Kanisani na Msikitini hakumaanishi chochote kama haumuamini Mungu na uumbaji wake, ...
toka lin shughuli za serikali zikajuhusisha na mambo ya imani za watu?
 
Siyo Fizikia bali ni Sayansi ya Viumbe (Bailojia) kwa kifupi inasema kwamba hakuna kitu kama Mungu Dunia hii na kila kitu kilichopo hp Duniani pmj Duniani hatujaumbwa na Mungu bali ni nature!
Nashukuru mkuu kwa ufafanuzi wako
 
Naomba nikuulize swali Mkuu.

Mungu kwako ni kitu gani?.Sihitaji jibu la hovyo (kumradhi), naomba unijibu kwa kutumia Mantiki na si hisia wala ushabiki.

Nb;Jibu utakalonipa uwe na ushahidi nao, Logically.Si haditi wala ngano.


Kikristo au Kiislamu jibu lake ni rahisi tu, Mungu ni kila kitu au Alfa na Omega!
 
Shingo ya Twiga kuwa ndefu ni Uumbaji wa Mungu na si zile haditi ulizozisoma chekechea.

Unataka kunishawishi kuwa kuna uhusiano kati ya shingo ya Twiga kuwa ndefu na kanuni ya kutumia na kutotumia?
.

Naomba uniambie unachotaka kunieleza, Logically please.
Sawa,japo sikuwa vizuri darasani ila nakumbuka kitu.
Ticha alisema kuwa moja kati ya hizo theory za darwins ni kwamba twiga shingo yake imekuwa ndefu baada ya kuwa anaforce kula majani ya juu baada ya majani ya chini kuisha kwahyo kadri anavyorefusha shingo na kuitumia ndio inavyoongzezeka.

Ndio maana nikasema kadri unavyotumia kiungo ndivyo kinavyoongezka.
 
Wanaotamka kumuamini MUNGU na kudai kumtumikia na pia kutaka waombewe ndo jamaa anawakenga,
Haujaelewa alichosema rudia kusoma
And if thats the case hakuna tatizo as ile ni nadharia kama ilivyo nadharia ya dini vilevile. Biblia yenyewe imesema ya Mungu mpe Mungu na ya Kaisari mpe Kaisari, sasa wewe ni nani hata upangie watu vinginevyo!!!!
 
Hakuna popote ulipoongelea Tanzania Mkuu.

Aliyekuuliza swali ilibidi umjibu swali na si kumkimbia.Duniani si sote tunaoamini katika Mungu.Hivyo wanafunzi kufundishwa theories mbalimbali zinazoenda kinyume na Imani yako usione kesi saana (Just cool down and argue it Logically, not emotionally).

Pia unapozungumzia Dini kama source ya Uamini wa Mungu unakosea na tujifunze kuelewa na si kukariri.Msingi wa Imani yeyote si Uislamu na Ukristo.

Kuku pia ana Imani, ndiyo maana ikifika saa kumi na mbili imani yake inamtuma kwenda kwenye banda lake na saa kumi na mbili alfajiri kuamka.Nina mtu, jirani yangu hapa ambaye kuku wakimwona wanamkimbia, Je hii si imani kwa kuku?.

Kabla ya hizi dini (Uislamu, Uhindu, Uyahudi, Ukristu nk) watu walikuwa wanaamini katika Mungu, tena zaidi ya sasa ya Imani ya ki-abra kadabra.Kwahiyo unapozungumzia Uamini wa Mungu usiwe-biased tu katika Dini, ingia deep sana (Kabla na baada ya ujio wa Dini).
upo smartupztair
 
Watu tunapaswa kujiuliza binadamu na uvumbuzi wake wote miaka kibao hadi sasa dunia yote haijapata ona nyani anabadilika zile stage na kuwa binadamu.
This is amazing halafu unakuta watu wamekaa wanafundisha watu mashuleni humo??

Wangepatikana hao nyani wangeshaanza kufanyiwa utafiti mda hatimaye tuelewe wale jamaa ni ndugu zetu.

Kumbe wapi. Watu waache kuishi kwa nadharia bali vitendo.
 
Back
Top Bottom