Binafsi nasifu kwa nguvu zangu zote kwa speed ambayo mmekuja nayo hasa kwa kuangalia maeneo ya TPA, TRA Naona sasa mmeamua kwenda TRL Ingawa ningependa msogee zaidi muende na muimulike TANESCO TANAPA, MADINI, N.K
Ni wazi kuwa suala la kuajili wafanyakazi kumegubikwa na matendo ambayo yako kinyume na maadili ya nchi, tuna watu wengi sana wameajiliwa kwa vimemo ambao kimsingi hawana uwezo wa kuzifanya kazi wanazozifanya, jambo ambalo inafanya taifa lipoteze mapato mengi sana, nchi hii ina watu wengi sana wenye uwezo wa kufanya kazi iliyotukuka ila wamenyimwa nafasi kisa hawana ndugu huko kwenye mashirika ya umma/binafsi.
Ukiukwaji wa maadili katika kuajili ukitaka kuujua vizuri unaweza kuona ulivyogubikwa na udini (NSSF) Ramadhan Dau anajua vizuri sana hili. ukablia umejaa CRDB, VETA, TPA NA TRA, n.k
Rai yangu ni kwamba, naomba sehemu tajwa hapo juu nikimaanisha TRA, TPA, naomba mpige chini wafanyakazi wote, kazi zitangazwe upya, watu waombe na waajiliwe kwa weredi wao, hapa tutakuwa tumejenga Tanzania mpya na yenye kuongeza tija katika taifa,
naomba kuwasilisha.