Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 2,919
- 3,047
- Thread starter
- #41
Mada inahusu Tanzania au Afrika?Umeelewa maana ya "na jamii kama hizo"
Wahadzabe nimetumia mfano tu ila jamii zote za wafungaji Africa bado ziko kwenye mizizi kama option ya kwanza.
Huwezi kuwaweka kundi moja na hao wanaoenda kwa Physician hata wakipata mafua tu.
Unaifahamu nchi ndogo ya Swaziland?Wewe unadhani dunia ya Leo unaamini miti shamba.Anyway,kwa hiyo Tanzania inatumia miti shamba sana ndio maana haina focus ya kuajiri watumishi wa afya!