Kama kweli rostam anahusika na dowans, basi mengi amekosea kumwita manji fisadi papa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama kweli rostam anahusika na dowans, basi mengi amekosea kumwita manji fisadi papa.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jitihada, Feb 9, 2011.

 1. Jitihada

  Jitihada Senior Member

  #1
  Feb 9, 2011
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimekuwa nikijiuliza sana hivi mtu anatakiwa awe na vigezo gani ili aweze kuitwa fisadi papa? Japo sipo hapa kwa lengo la kubomoa bali lengo ni lilelile kujenga tu. Ni muda sasa tangu liibuliwe sakata la dowans hapa kwetu tz, japo kila mtuhumiwa wa sakata hili la dowans amekuwa akijaribu kuikana vilivyo hiyo dowans ilimradi asihusishwa kwa namna moja ama nyingind, yaan hata Rais naye amekili wazi kuwa ahusiki na dowans. Sipo hapa kumhukumu mtu bali nataka toa dukuduku langu moyoni, maana kwanza zimeshatoka habari zikidai bado siku 7 dowans walipwe. Kiukweli kama kweli rostam azizi kama anavyotuhumiwa na baadhi ya walio wengi atakuwa anausika katika sakata hili la dowans basi narudia kusema mengi amekosea kumwita manji fisadi papa. Nashindwa kuamini kama mtu mmoja akaweza kujichukulia mabilioni ya mipesa toka kwa wananchi waliochoka ambao kila wakiamka garama za maisha zinazidi kuongezeka.
   
 2. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #2
  Feb 9, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Kwani RA na Manji si mtu na mdogo wake?,....wanafanana kwa muonekanao.....aaaaaaaaah!...puuuuuuuuuuuuh
   
 3. m

  masssaiboi JF-Expert Member

  #3
  Feb 9, 2011
  Joined: Feb 10, 2009
  Messages: 637
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 33
  manji kachukua bill 40 za kagoda na zingine kama bil 100 kuiuzia lapf/pspf shares katika majengo ya ubungo plaza na quality plaza
   
 4. Mmang'ati

  Mmang'ati Senior Member

  #4
  Feb 9, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 185
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Mengi aliwataja wote manji na rostam kuwa ni mafisadi papa
   
 5. L

  Leornado JF-Expert Member

  #5
  Feb 9, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,534
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Manyangumi hao...hata baharini kazi yao kumeza samaki wadogo wadogo....

  hii nchi imevamiwa na waarabu na magabachori, halafu kwenye serkali ya kikwete wamejaa sana duh...
   
 6. Jitihada

  Jitihada Senior Member

  #6
  Feb 9, 2011
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sasa mbona mwenzake manji amejitokeza kukanusha tuhuma afu rostam katulia au ameona hamna haja kukanusha, na hata kama mengi amewataja wote wawili ni mafisadi papa lazima kati yao mmoja amzidi mwenzie kiupapa, kamwe haiwezekani upapa wao ukalingana hadi nukta,
   
Loading...