Kama Kweli ni Demokrasia Afadhali Tubaki na Demokrasia Yetu

Bowie

JF-Expert Member
Sep 17, 2016
4,372
6,078
Leo ni wiki nne watumishi mbali mbali wa idara za serikali ikiwemo na ikulu hawajalipwa mishahara yao. Hii ni baada ya mvutano wa Rais Donald Trump anayetoka chama cha Republican na Spika Nancy Pelosi anayetoka chama cha Democratic.

Huko Uingereza napo mambo ni magumu kwa kipindi kirefu baada ya kura ya Uingereza kujitoa jumuia za ulaya kila siku Waziri mkuu Theresa May anakoswa koswa na kura ya kutokuwa na imani naye mpaka kupelekea nchi hiyo uchumi wake kuyumbayumba.

Natoa pongezi kubwa kwa taasisi zote hapa Tanzania haswa Spika wa Bunge Job Ndugai kwa kumuunga mkono Rais Magufuli katika kujenga taifa lenye uchumi imara. Hawa wabunge wachache wanaowakilisha maslahi zao binafsi waendelee kudhibitiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo ni wiki nne watumishi mbali mbali wa idara za serikali ikiwemo na ikulu hawajalipwa mishahara yao. Hii ni baada ya mvutano wa Rais Donald Trump anayetoka chama cha Republican na Spika Nancy Pelosi anayetoka chama cha Democratic. Huko Uingereza napo mambo ni magumu kwa kipindi kirefu baada ya kura ya Uingereza kujitoa jumuia za ulaya kila siku Waziri mkuu Theresa May anakoswa koswa na kura ya kutokuwa na imani naye mpaka kupelekea nchi hiyo uchumi wake kuyumbayumba.

Humu JF wamejaaa RADICALS na Snitches mapandikizi ya kutukana Serikali. Chochote katika ardhi ya Tanzania hakitakiwi kusifiwa Mkuuu. Hivyo tegemea michango negative sana na matusi maana kuna Vijana wamenunuliwa Techno simu na Ipad washinde katika Social network kutukana wale wote wanaosifia maendeleo. Wengine kuanzisha mada za Kumsifia Mgonjwa wetu wa Ubelgiji, Wengine lazima Aweke post 10 kwa siku kumsifia ME_MBE laasivyo atafukuzwa uwakala. So kitendo chako cha kumsifia Spika umeingia kwenye 18 zao subiri mapovu ya Vibarua hao mkuu.
 
Hatumuungi mkono fisadi, mwizi, mtoa rushwa, mvunjaji katiba, mtekaji, mtesaji, anayedhulumu watanzania na muuaji.

Mwambie arudishe 1.5 trillions alizokwapua hazina.

Leo ni wiki nne watumishi mbali mbali wa idara za serikali ikiwemo na ikulu hawajalipwa mishahara yao. Hii ni baada ya mvutano wa Rais Donald Trump anayetoka chama cha Republican na Spika Nancy Pelosi anayetoka chama cha Democratic. Huko Uingereza napo mambo ni magumu kwa kipindi kirefu baada ya kura ya Uingereza kujitoa jumuia za ulaya kila siku Waziri mkuu Theresa May anakoswa koswa na kura ya kutokuwa na imani naye mpaka kupelekea nchi hiyo uchumi wake kuyumbayumba.
Natoa pongezi kubwa kwa taasisi zote hapa Tanzania haswa Spika wa Bunge Job Ndugai kwa kumuunga mkono Rais Magufuli katika kujenga taifa lenye uchumi imara. Hawa wabunge wachache wanaowakilisha maslahi zao binafsi waendelee kudhibitiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatumuungi mkono fisadi, mwizi, mtoa rushwa, mvunjaji katiba, mtekaji, mtesaji, anayedhulumu watanzania na muuaji.

Mwambie arudishe 1.5 trillions alizokwapua hazina.

Mkuu naomba unipe account ama sehemu yeyote ilipotunzwa hiyo 1.5 trillion. Ninavojua magazeti na vyombo vya habari vya magharibi visingeshindwa kutangaza huo ufisadi mkubwa. Let the guy for next 10 years atujengee miundo mbinu madhubuti tupumzike na miaka 20 ya wizi wa mabilioni ya fedha ukianza na Escrow mpaka Rada. BAK huyu mkuu yupo very serious hata mashamba ya mikonge yaliyokuwa yakishikiliwa na so called Africa Young Bilionea kwa kuchukulia mikopo nje ya nchi amedhibiti kuyarudisha kwa watanzania. I don't kama ndani ya CCM na nje ya CCM kuna kiongozi shupavu kama Rais Magufuli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha ujinga were! Kuna ufisadi chungu nzima umetokea Tanzania ambao haujatangazwa na vyombo vya habari vya magharibi ikiwemo dikteta kukwapua nyumba za serikali na kununua kivuko uzo kwa bilioni 8

CAG katika ripoti yake kaandika pesa imepotea. Kwa mtu anayejali maslahi ya nchi angeunda tume huru kuchunguza hakufanya
hivyo kwa sababu anajichotea tu pesa hazina bila idhini ya Bunge anajua angeumbuka.

Kadhulumu wakulima wa korosho zaidi ta 250 billion zao, uchumi umeanguka, nyongeza ya mishahara kwa Wafanyakazi mwaka wa nne huu.

Huyu ni janga kubwa la Taifa na ni mtu hatari sana kwa amani na mshikamano wa Watanzania.

Wenzetu democracy ni kubwa kuliko kwetu. Warumishi hawajalipwa mshahara sababu anataka bunge la senate limpe pesa ya kujenga ukuta .. bunge limekataa mpango wake huo.
Uingereza bunge limekataa kuidhinisha mpango wa kujitoa uk.. wamepiga kura wamempinga theresa may.
Mabunge ya wenzetu so dhaifu. Wanaweza kukubali au kukataa sera fulani.

Kutokumuunga mkono rais katika jambo fulani haimaanishi eti watu hawaipendi nchi hapana.. bali wanatakajambo husika lifanyike kwa wakat sahihi.

And please get your fact right. Bado hatuna uchumi imara. Acha kusifu na kuabudu muda wote.
Leo ni wiki nne watumishi mbali mbali wa idara za serikali ikiwemo na ikulu hawajalipwa mishahara yao. Hii ni baada ya mvutano wa Rais Donald Trump anayetoka chama cha Republican na Spika Nancy Pelosi anayetoka chama cha Democratic. Huko Uingereza napo mambo ni magumu kwa kipindi kirefu baada ya kura ya Uingereza kujitoa jumuia za ulaya kila siku Waziri mkuu Theresa May anakoswa koswa na kura ya kutokuwa na imani naye mpaka kupelekea nchi hiyo uchumi wake kuyumbayumba.
Natoa pongezi kubwa kwa taasisi zote hapa Tanzania haswa Spika wa Bunge Job Ndugai kwa kumuunga mkono Rais Magufuli katika kujenga taifa lenye uchumi imara. Hawa wabunge wachache wanaowakilisha maslahi zao binafsi waendelee kudhibitiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha ujinga were! Kuna ufisadi chungu nzima umetokea Tanzania ambao haujatangazwa na vyombo vya habari vya magharibi ikiwemo dikteta kukwapua nyumba za serikali na kununua kivuko uzo kwa bilioni 8

CAG katika ripoti yake kaandika pesa imepotea. Kwa mtu anayejali maslahi ya nchi angeunda tume huru kuchunguza hakufanya
hivyo kwa sababu anajichotea tu pesa hazina bila idhini ya Bunge anajua angeumbuka.

Kadhulumu wakulima wa korosho zaidi ta 250 billion zao, uchumi umeanguka, nyongeza ya mishahara kwa Wafanyakazi mwaka wa nne huu.

Huyu ni janga kubwa la Taifa na ni mtu hatari sana kwa amani na mshikamano wa Watanzania.
Mjinga ni yule always yupo Aggressive and Ignorant.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo ni wiki nne watumishi mbali mbali wa idara za serikali ikiwemo na ikulu hawajalipwa mishahara yao. Hii ni baada ya mvutano wa Rais Donald Trump anayetoka chama cha Republican na Spika Nancy Pelosi anayetoka chama cha Democratic. Huko Uingereza napo mambo ni magumu kwa kipindi kirefu baada ya kura ya Uingereza kujitoa jumuia za ulaya kila siku Waziri mkuu Theresa May anakoswa koswa na kura ya kutokuwa na imani naye mpaka kupelekea nchi hiyo uchumi wake kuyumbayumba.
Natoa pongezi kubwa kwa taasisi zote hapa Tanzania haswa Spika wa Bunge Job Ndugai kwa kumuunga mkono Rais Magufuli katika kujenga taifa lenye uchumi imara. Hawa wabunge wachache wanaowakilisha maslahi zao binafsi waendelee kudhibitiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Waendelee kudhibitiwa tu by any means possible,tukiwachekea tunavuna mabua.Hao Hao wanao wa-support ndio wanaoyumbisha nchi zao Marekani na Uingereza,we cannot let that happen in Tanzania,that would be utter stupidity,Magufuli kaza kamba baba,wabaki na democrasia yao ya uhuru wa manyani na sisi tubaki na ya kwetu.

You can't imagine federal workers 800,000 wamegeuka kuwa omba omba Marekani because they can't be paid and now depend on handouts.We cannot let that happen in Tanzania eti in the name of the so called democracy,ujinga kabisa.
 
Report ya CAG has it all.
Masuala ya kusingizia vyombo vya habari vya magharibi ni udhaifu mkubwa kw waafrika. Hii tabia ya kufanya mdudu ,halaf mtu anasingizia mabeberu is nothing but foolish .
Hakuna chombo kingeruhusiwa kujua. Hiyo pesa mahali ilipo, issue ni sensitive sana kwa nchi. Ila report ya CAG inafahamu.

Yes kuna presidential material wazuri kuliko magufuli.. ndani ya ccm nje wako wachache. So dont overhype the guy kuwa ni great sana.

Yes anafanya vizuri .. ndani ya miaka kumi tutaukuwa mbali interms of miundombinu. Lakin si marazote anafanya maamuzi sahihi, so kukosolewa si kutukanwa.
Mkuu naomba unipe account ama sehemu yeyote ilipotunzwa hiyo 1.5 trillion. Ninavojua magazeti na vyombo vya habari vya magharibi visingeshindwa kutangaza huo ufisadi mkubwa. Let the guy for next 10 years atujengee miundo mbinu madhubuti tupumzike na miaka 20 ya wizi wa mabilioni ya fedha ukianza na Escrow mpaka Rada. BAK huyu mkuu yupo very serious hata mashamba ya mikonge yaliyokuwa yakishikiliwa na so called Africa Young Bilionea kwa kuchukulia mikopo nje ya nchi amedhibiti kuyarudisha kwa watanzania. I don't kama ndani ya CCM na nje ya CCM kuna kiongozi shupavu kama Rais Magufuli.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utawala wa kifalme ulikuwa na maana yake3
Umeona ehh
Maana kuna mijitu ina laana ya umaskini, ukifanya nayo mchezo yana kushusha chini, kama tundulissu msaliti na zito ni laana tupu walahi
 
Waendelee kudhibitiwa tu by any means possible,tukiwachekea tunavuna mabua.Hao Hao wanao wa-support ndio wanaoyumbisha nchi zao Marekani na Uingereza,we cannot let that happen in Tanzania,that would be utter stupidity,Magufuli kaza kamba baba.
Well said
Wa fyekelewe mbali mbali walahi
Wawe compost ya nguruwe walahi
 
Ni Mtanzania ZWAZWA tu ambaye hawezi kufanya tathmini mwenyewe ya yale yanayojiri nchini lakini ayaamini maneno ya mgeni ambaye haishi nchini!!!

UNA LAANA WEWE NA KIZAZI CHAKO MILELE YOTE WALAHI
FUKARA MKUU WALAHI
 
Back
Top Bottom