Kama kweli nchi za Gabon, Cameroon na Congo Brazavile ni maskini zinawezaje kuandaa mashindano makubwa ya Soka Afrika kushinda Tanzania?

Naomba serikalini iwekeze viwanja hata vya watazamaji 30,000 vipya mikoa ifuatayo
1. Mwanza
2. Arusha
3. Dodoma
4. Mbeya
5 Morogoro

Tukipata hivyo na vilivyopo Zanzibar na Dsm vinakuwa 8 ambavyo vina standards nzuri.
Hapo hata World Cup tunaomba
world cup nchi kuhost. fifa awaangalii viwanja peke yake
 
Back
Top Bottom