Kwa uongozi wa yule jamaa kwa kweli tulipata fundisho la kwamba siyo wote wanafaa kuwa viongozi. Ule haukuwa uongozi bali uhuni na ujambazi wa kimamlaka uliopitilizaAliletwa na Mungu ili vijana tujifunze namna ya kuenenda tunapokuwa na madaraka.
Vijana tumefunzwa kuwa yatupasa kumtegemea MUNGU wa mbinguni tu na sio mwanadamu
Kuna watu ni nyoka lakini wanavaa hadi suti na kuishi magogoni na chamwino eti wakiitwa wakuu wa kayaAliletwa na Mungu ili vijana tujifunze namna ya kuenenda tunapokuwa na madaraka.
Vijana tumefunzwa kuwa yatupasa kumtegemea MUNGU wa mbinguni tu na sio mwanadamu
Iwapo tu, uchaguzi utakuwa Huru na wa_haki ( Nukuu toka kwa Mh H. Polepole)Uchaguzi utakuwa rahisi sana huu.