Kama kweli Magufuli aliletwa na Mungu basi uchaguzi wa 2025 utakua ni patashika nguo kuchanika

Kihava

JF-Expert Member
May 23, 2016
4,793
2,000
Aliletwa na Mungu ili vijana tujifunze namna ya kuenenda tunapokuwa na madaraka.

Vijana tumefunzwa kuwa yatupasa kumtegemea MUNGU wa mbinguni tu na sio mwanadamu
Kwa uongozi wa yule jamaa kwa kweli tulipata fundisho la kwamba siyo wote wanafaa kuwa viongozi. Ule haukuwa uongozi bali uhuni na ujambazi wa kimamlaka uliopitiliza
 
Kihava

JF-Expert Member
May 23, 2016
4,793
2,000
Aliletwa na Mungu ili vijana tujifunze namna ya kuenenda tunapokuwa na madaraka.

Vijana tumefunzwa kuwa yatupasa kumtegemea MUNGU wa mbinguni tu na sio mwanadamu
Kuna watu ni nyoka lakini wanavaa hadi suti na kuishi magogoni na chamwino eti wakiitwa wakuu wa kaya
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom