Kama kweli huu ni ushauri wa Abdi Banda kwa Orlando Pirates, basi akapimwe akili

Huyu ndio Wa kuambiwa,”never side with the enemy in family business!”
Na agongwe risasi ya kichwa!
 
Kwanini apeleke ushahidi CAF?
Banda halalamiki, alikuwa anatoa maoni yake tu kwenye mahojiano aliyokuwa anafanya kuhusu mechi ya Simba na Orlando na kwanini anaona Orlando itasogea hutua inayofuata pamoja vikwazo itakavyo kutana navyo itakapocheza mechi ya hapa nchini.
 
Back
Top Bottom