Nimesikia majina ya Mawaziri Wa Fedha, na Wanasheria Wakuu wakitajwa kama wahusika wa Mikataba mibovu, tena Kwa tuhuma za Rushwa.
Najiuliza, hawa wanaweza Ku saini Mikataba mikubwa hivi, na Kupitisha Sheria hizi Bungeni bila Speaker na Raisi kuridhia? Je Serikali za awamu ya 3 na 4 zote zilikuwa za Kifisadi?
Je Sasa ndo tumempata Malaika? Au ndo CCM mpya? Au ndo ule utatu wa Sita (marehemu), Mwakiembe na JPM ndo umepata nafasi?
Au je CCM, ndo imekuja na mbinu mpya ya kujivua Gamba, baada ya kushindwa?
Au ni muendelezo wa tuhuma zisizo zakitafiti kama zile za Madawa ya kulevya?
Kama kweli, wa Tanzania wote hawa ni Wabaya, je hii ni Nchi ya Watu wa Aina gani?