Kama kweli CCM itawatia adabu waliotoa rushwa itajenga imani kubwa kwa wapiga kura (Watanzania)

daza steven

JF-Expert Member
Aug 30, 2016
359
357
Taarifa zinasema kumekuwa na rushwa katika chaguzi za CCM kwa miongo kadhaa lakini wadadavuaji wa mambo ya kisiasa wanasema safari hii ilikuwa ni balaa, kwani kura zilipelekwa katika soko kama la hisa au mnadani wa kura kwani mwenye dau kubwa ndiyo alifanikiwa kununua kura za ushindi na mwenye kidogo alipata kidogo katika sehemu kubwa ya nchi.

Mimi kama mtia nia nilishangaa sana siku ya tarehe ya kura za maoni ile asubui kwani wajumbe walikuwa na furaha ya hajabu, kila mjumbe alikuwa anaonyesha meno hadi ya uwani hilimladi kuonyesha furaha zao ambazo sikuzijua kabla. Niliwaona wajumbe wengine wakiingia na mabasi wakiimba kwa furaha pia niliwaona wajumbe wengine kabla ya kuingia ndani wakipiga picha za makundi ya kata zao hili mladi kuonyesha furaha tupu.

Nilianza kujiuliza hawa wajumbe hizi furaha wamezitoa wapi?

Mbona chaguzi zingine hakukuwai kuwa na furaha kama hii kuna nini?

Ndipo nilikuja kugundua kuwa kumbe wajumbe hawajabeba maslai mapana ya chama wao wamebeba mslai yao binafsi yaani hata kama chama chao kikianguka wao wamepata kitu hiyo basi inatosha. Nilishangazwa pia sana pale ukumbini kwani baada ya mtia nia fulani kumaliza kuongea nikaona wajumbe wote wanatoka toka nje kutafuta soda na maji na kupiga stori nje, hili sikuelewa mpaka sasa.

Kama CCM itafanya maamuzi magumu, hiki kitakuwa chama cha watanzania ata mtu awe mpinzani atabaki mdomo wazi kwa hatua hiyo tunayo isubiri kutokea. Na hapa sasa itaonekana mfanano wa CCM na kadi ya CCM ilivyo andikwa kule nyuma ya kadi kuwa BINADAMU WOTE NI SAWA na KILA MTU ANASTAHILI YA KUTAMBULIWA NA KUTHAMINIWA UTU WAKE na mwisho inamaliza kwa kusema UJAMAA NA KUJITEGEMEA NDIYO NJIA PEKEE YA KUJENGA JAMII YA WATU WALIO SAWA NA HURU.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
 
Weee acha hizo CCM imezaliwa kwenye rushwa ikakulia kwenye rushwa na kamwe haiwezi acha rushwam sasa hivi inaitwa mrungula na takrima.
 
CCM RUSHWA NI SEHEMU YA HUAI WAKE, KAMA BINADAMU NA HEWA, SIKU KIKIACHA RUSHWA KINAKUFA, HIVI NANI WA KUMKAMATA MWIZI WAKATI WIZI NI SEHEMU TA MFUMO WAKE ?. Fatilia matokeo ya Arusha, mwanza, kongwa nk, WAKIJILOGA NA KUWAKATA WALA RUSHWA WATAGAWANA CHAMA
IMG-20190721-WA0001.jpg
 
Pasipo rushwa CCM haiwezi kutawala, rushwa ni mtaji wa kupata uongozi ndani ya CCM kuanzia kata hadi taifa ktk chaguzi zote, pole sana mtia nia ila YEYE YULE ✌️ anakwenda kulibadili taifa letu.
 
Taarifa zinasema kumekuwa na rushwa katika chaguzi za CCM kwa miongo kadhaa lakini wadadavuaji wa mambo ya kisiasa wanasema safari hii ilikuwa ni balaa, kwani kura zilipelekwa katika soko kama la hisa au mnadani wa kura kwani mwenye dau kubwa ndiyo alifanikiwa kununua kura za ushindi na mwenye kidogo alipata kidogo katika sehemu kubwa ya nchi.

Mimi kama mtia nia nilishangaa sana siku ya tarehe ya kura za maoni ile asubui kwani wajumbe walikuwa na furaha ya hajabu, kila mjumbe alikuwa anaonyesha meno hadi ya uwani hilimladi kuonyesha furaha zao ambazo sikuzijua kabla. Niliwaona wajumbe wengine wakiingia na mabasi wakiimba kwa furaha pia niliwaona wajumbe wengine kabla ya kuingia ndani wakipiga picha za makundi ya kata zao hili mladi kuonyesha furaha tupu.

Nilianza kujiuliza hawa wajumbe hizi furaha wamezitoa wapi?

Mbona chaguzi zingine hakukuwai kuwa na furaha kama hii kuna nini?

Ndipo nilikuja kugundua kuwa kumbe wajumbe hawajabeba maslai mapana ya chama wao wamebeba mslai yao binafsi yaani hata kama chama chao kikianguka wao wamepata kitu hiyo basi inatosha. Nilishangazwa pia sana pale ukumbini kwani baada ya mtia nia fulani kumaliza kuongea nikaona wajumbe wote wanatoka toka nje kutafuta soda na maji na kupiga stori nje, hili sikuelewa mpaka sasa.

Kama CCM itafanya maamuzi magumu, hiki kitakuwa chama cha watanzania ata mtu awe mpinzani atabaki mdomo wazi kwa hatua hiyo tunayo isubiri kutokea. Na hapa sasa itaonekana mfanano wa CCM na kadi ya CCM ilivyo andikwa kule nyuma ya kadi kuwa BINADAMU WOTE NI SAWA na KILA MTU ANASTAHILI YA KUTAMBULIWA NA KUTHAMINIWA UTU WAKE na mwisho inamaliza kwa kusema UJAMAA NA KUJITEGEMEA NDIYO NJIA PEKEE YA KUJENGA JAMII YA WATU WALIO SAWA NA HURU.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
WAliotoa hawafiki 5000 , waliopokea wanazidi 50,000, iwafukuze wapokeaji, watoaji wapewe onyo!
CCM na Rushwa ni "kondom na manii"
 
Kwa mwandiko huu ndugu mtia nia....., naanza kuwaelewa wajumbe.... Kwa maelezo yako baada ya kusoma katikati ya mistari inaelekea ulitaka nafasi ya ubunge, tena yawezekana ni "msomi". Nikushauri utumie nguvu zako na jiunge na wenzako mpiganie mabadiliko ya katiba ili kuwepo kwa mgombea huru.
 
Taarifa zinasema kumekuwa na rushwa katika chaguzi za CCM kwa miongo kadhaa lakini wadadavuaji wa mambo ya kisiasa wanasema safari hii ilikuwa ni balaa, kwani kura zilipelekwa katika soko kama la hisa au mnadani wa kura kwani mwenye dau kubwa ndiyo alifanikiwa kununua kura za ushindi na mwenye kidogo alipata kidogo katika sehemu kubwa ya nchi.

Mimi kama mtia nia nilishangaa sana siku ya tarehe ya kura za maoni ile asubui kwani wajumbe walikuwa na furaha ya hajabu, kila mjumbe alikuwa anaonyesha meno hadi ya uwani hilimladi kuonyesha furaha zao ambazo sikuzijua kabla. Niliwaona wajumbe wengine wakiingia na mabasi wakiimba kwa furaha pia niliwaona wajumbe wengine kabla ya kuingia ndani wakipiga picha za makundi ya kata zao hili mladi kuonyesha furaha tupu.

Nilianza kujiuliza hawa wajumbe hizi furaha wamezitoa wapi?

Mbona chaguzi zingine hakukuwai kuwa na furaha kama hii kuna nini?

Ndipo nilikuja kugundua kuwa kumbe wajumbe hawajabeba maslai mapana ya chama wao wamebeba mslai yao binafsi yaani hata kama chama chao kikianguka wao wamepata kitu hiyo basi inatosha. Nilishangazwa pia sana pale ukumbini kwani baada ya mtia nia fulani kumaliza kuongea nikaona wajumbe wote wanatoka toka nje kutafuta soda na maji na kupiga stori nje, hili sikuelewa mpaka sasa.

Kama CCM itafanya maamuzi magumu, hiki kitakuwa chama cha watanzania ata mtu awe mpinzani atabaki mdomo wazi kwa hatua hiyo tunayo isubiri kutokea. Na hapa sasa itaonekana mfanano wa CCM na kadi ya CCM ilivyo andikwa kule nyuma ya kadi kuwa BINADAMU WOTE NI SAWA na KILA MTU ANASTAHILI YA KUTAMBULIWA NA KUTHAMINIWA UTU WAKE na mwisho inamaliza kwa kusema UJAMAA NA KUJITEGEMEA NDIYO NJIA PEKEE YA KUJENGA JAMII YA WATU WALIO SAWA NA HURU.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
Mimi pia natamani watiwe adabu, la sivyo hali itakuwa mbaya. Mimi pia nilitia nia yaliyonikuta ni kama yaliyokukuta.
 
Back
Top Bottom