Eeka Mangi
JF-Expert Member
- Jul 27, 2008
- 3,173
- 481
Kuna wakati nilisikia kuwa haiwezi tokea ukaona paka wana-doo na ukiona basi siku zako zinahesabika.
Sasa mimi leo asubuhi kigiza hivi nawahi job nikakuta paka wamekunjana barabarani walivyoona mwanga wa gari yule aliyekuwa juu katoka nduki wa kike kabung'aa kisha naye katoka nduki. Nikawapa story rafiki zangu hapa ofisini wakanambia eti siku zangu si nyingi! Dah nimechoka kwelikweli. Hivi n i kweli ama ULIKUWA UMALAYA WA HAWA PAKA? Na haiwezekani na wao wameanza kukosa maadili?
Nianze kuaga nini?