Kama kweli basi miye nimekuja kuwaaga!

Eeka Mangi

JF-Expert Member
Jul 27, 2008
3,173
481
Kuna wakati nilisikia kuwa haiwezi tokea ukaona paka wana-doo na ukiona basi siku zako zinahesabika.
Sasa mimi leo asubuhi kigiza hivi nawahi job nikakuta paka wamekunjana barabarani walivyoona mwanga wa gari yule aliyekuwa juu katoka nduki wa kike kabung'aa kisha naye katoka nduki. Nikawapa story rafiki zangu hapa ofisini wakanambia eti siku zangu si nyingi! Dah nimechoka kwelikweli. Hivi n i kweli ama ULIKUWA UMALAYA WA HAWA PAKA? Na haiwezekani na wao wameanza kukosa maadili?
Nianze kuaga nini?
 
ahahahahahha yaani imebidi nicheke tu......kama kwlei basi safari njema lolllllllllllll...ukashike kiwanja kikubwa tuko nyuma!!!:rip::rip::rip:
 
What u beleave is what hapens to you.

Ukiamini hilo litakupata lakini usupoamini hakuna kitu,
 
Kuna wakati nilisikia kuwa haiwezi tokea ukaona paka wana-doo na ukiona basi siku zako zinahesabika.
Sasa mimi leo asubuhi kigiza hivi nawahi job nikakuta paka wamekunjana barabarani walivyoona mwanga wa gari yule aliyekuwa juu katoka nduki wa kike kabung'aa kisha naye katoka nduki. Nikawapa story rafiki zangu hapa ofisini wakanambia eti siku zangu si nyingi! Dah nimechoka kwelikweli. Hivi n i kweli ama ULIKUWA UMALAYA WA HAWA PAKA? Na haiwezekani na wao wameanza kukosa maadili?
Nianze kuaga nini?

uongo mkubwa kabisa ..mimi nilishawaona mara kibao tu ..miaka 13 iliyopiat nilishaona hata utotoni nilshaona sana ..au na mimi sku zangu zinahesabika?...but miaka kama 20 ishapita
 
Zinahesabika ndiyo haitazidi miaka 100 utakufa ndugu yangu!
 
Ukifika usisahai kumtafuta Julias Nyerere (BABA WA TAIFA) umweleze kinachojiri TZ. BYE:doh:
 
duh binadamuna imani zetu..
mimi nimewaona paka waki sex mchana kweupe
cha ajabu na waliponiona wala hawakuacha,waliendelea na starehe zao...
na nimiezi miwili imepita sasa...

na mimi kwa kuwa sikuwahi kusikia kuwa ukiona paka wana sex ni mkosi...

mimi nilidhani ni bahati kwa sababu sio kila mtu inamtokea.....
funny ....................
 
Kuna wakati nilisikia kuwa haiwezi tokea ukaona paka wana-doo na ukiona basi siku zako zinahesabika.
Sasa mimi leo asubuhi kigiza hivi nawahi job nikakuta paka wamekunjana barabarani walivyoona mwanga wa gari yule aliyekuwa juu katoka nduki wa kike kabung'aa kisha naye katoka nduki. Nikawapa story rafiki zangu hapa ofisini wakanambia eti siku zangu si nyingi! Dah nimechoka kwelikweli. Hivi n i kweli ama ULIKUWA UMALAYA WA HAWA PAKA? Na haiwezekani na wao wameanza kukosa maadili?
Nianze kuaga nini?

house-cat-sex-mating.jpg
 
Acheni hizo nyie..............kwa wale wahudhuriaji wa ARISa Club pale ARU na enzi zile UCLAS.............hili lilikuwa ni jambo la kwaida sana paka wa pale walikuwa na nyota nyekundu!
 
Nianze kuaga nini?
Tatizo hapo unamwaga nani? Na unapomwaga unamsimulia hiki kisanga si atakuona una walakini fulani kiakili......siku na saa ya kutuaga hakuna aijuae......endelea kupasua anga kama zamani usije ukaaga kumbe bado una miaka 100 mbeleni inakusubiri.............itakapotimia hiyo mia utasikitika kwa mengi ambayo ulikosa kwa kutafakari kifo hewa.................Superstitious worries belong to the idol worshipers..........are you one of them?
 
Mjomba we endelea na maisha tu hizo habari hazina ukweli wowote,mi nimewaona paka waki do tangu nina miaka mitano huko kwa bibi na mpaka leo nakaribia miaka 40 mzima wa afya.Ila angalizo habari hii iishie humuhumu JF maana huko mitaani wachawi wakisikia hawakawii kupata sababu ya kukufanya msukule.
 
Back
Top Bottom