Kama kweli basi katibu mkuu mama Blandina nyoni ni zaidi ya muuwaji, soma hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama kweli basi katibu mkuu mama Blandina nyoni ni zaidi ya muuwaji, soma hapa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Feb 9, 2012.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Feb 9, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,464
  Likes Received: 5,707
  Trophy Points: 280
  Ndugu zangu watanzania
  kuna wengi watanzania wamepima wana ukimwi kumbe hawana
  hii imekuwa siku ningi sana na wizara imekuwa ikijulishwa kuhusu
  kupatikana kwa vifaa vibovu vya kupimia hiv

  pamoja na hayo mama yetu huyu inasemekana amekuwa akila na mmoja
  wa walioingiza hivi vifaa na kujilimbikizia hela nyingi tu huku akijua
  vifaa vilivyoletwa ni vibovu ...je wewe ni mmoja wa waathirika wa huyu mama

  mh pinda wakati akimalizia amesema ameona kuna kashfa nyingi sana na amesoma kwenye jamii
  forums na hata baadhiya karatasi aliomba wamprintie akasoma alishtuka sana sana
  sasa basi kwa kuwa swala la uongozi liko ju yake ameona ni vyema huyu mama akapumzika na
  kibaya zaidi mmeona kuhusu kuingizwa vyombo vibovu vya hiv mnafikiri tutakuwa tumeua wangapi
  maana wengi wanakufa sababu ya shock kujua wanaumwa kumbe awaumwi kwa hili nimeagiza
  haraka sana polisi waanze kumhoji kuanzia mchana huu na atoe ushirikiano na ripoti nipate
  kabla ya mwezi huu

  nimejua kwa nini watu wengi wanaogopa kupima ukimwi sio wanaogopa kujua wanaumwa bali wanaogopa kukutana na vituko vya mama blandina nyoni  mungu awape wepesi wale wote walikufa kwa tamaa ya huyu mama kwa kuambiwa wana ukimwikumbe hapana
  raha ya milele uwape ee bwana na mwanga wa milele uwaangazie wapumzike kwa amani

  ameeniiii
   
 2. BPM

  BPM JF-Expert Member

  #2
  Feb 9, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,766
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  inasikitisha sana
   
 3. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #3
  Feb 9, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,226
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Leo ndo wameyaona?!, TISS wanafanyanini mpaka haya yote yakee?!, si hili la vipimo feki, la chanjo feki za watoto je?!, ama hujui jinsi watoto wadogo magonjwa yasiyotibika bcos kuchanjwa chanjo zisizofaa?!
   
 4. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #4
  Feb 9, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,464
  Likes Received: 5,707
  Trophy Points: 280
  kweliii kabisaa mku na sie tuliofululizo jk time tumalize mapema tunakazi watoto wetu kila miezi kadhaa chanjo mpwa
   
 5. King2

  King2 JF-Expert Member

  #5
  Feb 10, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,289
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Duh! Kazi kweli kweli.
   
 6. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #6
  Feb 10, 2012
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,525
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  She is a monster . Agrrrrrr
   
 7. Invarbrass

  Invarbrass JF-Expert Member

  #7
  Feb 10, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 505
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  When money rules its subjects become monsters. If it is real, real she is.
   
 8. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #8
  Feb 10, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  naomba kukumbushwa alichowaambia madaktari hata wakamchukia vile...
   
 9. NusuMutu

  NusuMutu JF-Expert Member

  #9
  Feb 10, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 423
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  If thingmathang is thingmabob,then she must be a mid-day vampire!
   
 10. mwandiga

  mwandiga JF-Expert Member

  #10
  Feb 11, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 1,449
  Likes Received: 317
  Trophy Points: 180
  Hivi kwa nini huyu mwanmke asifilisiwe mali zake zote? Ilitakiwa apigwe risasi za tumboni hadi afe tena hadharani na TV zinaonyesha live. Ingekuwa fundisho tosha kwa wenye tabia kama hizo. Kwa nini tusiwage China kufanya maamuzi mazito? Baba mwanaasha anachekacheka kwa kila aliyemteua pale anapofanya makosa, hadi lini? Wakati ni huu, onyesha uwezo wako.
  Hivi kumbe pinda nae anaingia humu?sipati picha jina analotumia humu. Na avatar yake itakuwaje? Ila pinda karibu jamvini
   
Loading...