Kama Kweli Babu Seya Hakuonewa Kwa Nini Walishangilia

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
3,930
4,893
Bado najiuliza Kama Kweli Babu Seya hakuwa ameonewa , Je Kwa nini Baada ya Mh Rais kutaja jina lake kwa nini Uwanjani kulijawa na Shangwe na Vifijooo telee.

Je kwa nini wale watoto waliotoa ushahidi wa Uongo wasijitokeze na Kuomba msamaha kwa kutenda dhambi na kuwasababishia Maswaibu makubwa Ndugu hawa.. Je aliyefanikisha hiyo scandal alikuwa ana lengo Gani?

Najiuliza kweli Akili Unazo!!!
 
Na mimi najiuliza tu, kwenye maandiko kwanini alipofungulia Baraba ili Yesu afungwe watu wengi walishangilia? je Baraba alionewa?
 
Hapo tunapata funzo kuwa wengi waliopo magerezani walionewa au kutengenezewa kesi,All in all Mungu ni mwema siku zote
 
Back
Top Bottom