Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Kinyume na tunavyotishwa na watetezi wa Mzungu mara sijui Mmiliki wa ACACIA ni Mossad, wengine sijui Serikali zao zitatushitaki, sasa mbona kimya?
Nijuavyo mimi kama kweli Mzungu tungekuwa tumemuonea sasa hivi vyombo vyake vyote vingejaa habari mbaya dhidi ya nchi yetu, tena wangekwenda mbali na kulabel dhahabu yetu "blood gold" hata tayari wangeshaonya khs FDI Tanzania lakini hilo halijatokea, maana yake ni kwamba Rais wetu yuko sawa, ripoti ya Tume yetu iko sawa na fedha zetu watatulipa!
Eti tumekamata Mali ya Muzungu, sisi tukamate Mali ya Muzungu kimakosa hlf Muzungu akae kimya?