Kama kwa zaidi ya miaka ishirini katiba ya CHADEMA imeruhusu ufisadi na udikteta, kwa nini hamtaki kuibadili ili muwe mfano?

Sitaki kukupinga ila ombi langu ni utuletee hiyo katiba ya chadema ili tujiridhishe jinsi wanavyoinajisi. Tafadhali tuwekee link ya hiyo katiba tuisome hapa, na baada ya hapo ndipo tuanze nyundo aidha kwako kwa kupotosha au kwa wahusika!!
Charity begins at home. Sasa kama katiba yenu ina madudu makubwa kiasi cha kiongozi wa chama akitafuna bil 8 kwa kujilipa madeni hakuna wa kumhoji, kwa nini msianze nayo ili muonyeshe mfano wa mabadiliko?

Haya pamoja na hilo mbona kuna kuwa na uongozi usiokuwa na ukomo wa mwenyekiti? Na mtu akitokea kutaka kumchallenge haiwezekani? Hebu mjihoji kabla ya kulalalama.
 
Ukitazama upinzani unakosa kuona mbadala wa CCM.

They have nothing new to offer.

Ufisadi, ubinafsi , matumizi mabaya ya madaraka, makundi

Yamo huko upinzani kifupi kama nchi tunakosa mbadala wa mawazo na matendo ambayo yako chanya na niya kizalendo sio ya kipigaji.
 
Ukitazama upinzani unakosa kuona mbadala wa CCM.

They have nothing new to offer.

Ufisadi, ubinafsi , matumizi mabaya ya madaraka, makundi

Yamo huko upinzani kifupi kama nchi tunakosa mbadala wa mawazo na matendo ambayo yako chanya na niya kizalendo sio ya kipigaji.
Hivi kwa yanayoendelea sasa hivi mnashindwa kuona hiyo minyukano iliyoko huko CCM ni makundi ya maslahi tuu na jinsi yanavyo igharimu nchi?
Kama kuona hamuoni basi hata kusikia?
Mnakuwa kama wanaume walio lishwa limbwata ambao hata mwenza wake akigongwa anaona atasema ana test mitambo!
Mna nini nyie lakini?
 
Back
Top Bottom