Kama kupata Maelezo ya Adamoo, sheria ilikiukwa, Yatatupwa

Mfumo mbovu sn tulionao

Jaji hawajibiki kwa maamuzi yake yoyote kwa yeyote bali yule anayemteua, mwenye ule mhimili uliojichimbia zaidi.

Jaji kapandishwa cheo kuelekea kutoka hukumu.

Jaji anasema anashawishika kuamini Adamoo alizunguka na kina Kingai na Mahita hadi Arusha, akipewa mishikaki na Mo Energy kama mlo.

Hiiiiii bagosha!
 
Jaji wa hovyo kabisa kuwahi kutokea
 
Back
Top Bottom