Kama kuna Wiki Ngumu kwa Yanga SC basi ni hii kwani tayari Umafia umeshamalizwa huko Tanga Alhamisi na Arusha Jumapili

Nimeamini mpira wa Tz unachezwa nje ya uwanja

Sent from my TECNO W2 using JamiiForums mobile app
Huu ni mwaka sita sasa unakatika yanga hajawahi mfunga coast union pale kwenye uwanja wake wa nyumbani yaani pale mkwakwani, zaidi ya yeye kupokea kichapo, kwa hiyo hili lilitegemewa,.sio kitu kipya ukizingatia ushindi wa yanga wenyewe wa sasa hivi ni wa kubahatisha bahatisha tisha, lilikuwa ni suala la muda tu.
 
We acha ushirikina.Hiyo yanga alifungwa na African sports ya Tanga.Kiwango cha yanga kimeshuka sana kwa sababu wachezaji wengi muhimu hawapumziki.Mfano Mukoko,Mwamnyeto,Fei n.k
Ukiangalia tu trend ya uchezaji wa yanga unajua wazi lolote laweza tokea.
Kwa tabia ya viongozi wao pia kulalamikia waamuzi na TFF,pia kusema eti kuna mkono wa Simba,kinafanya wachezaji washindwe kijitathmini.Mtu kakosa penalty, mkono wa Simba.
Pia kutokuwepo kwa mwambusi.Hili mtalijua mechi zinazoendelea huko mbele.
Mwambusi aliibeba yanga kimatokeo,amini usiamini.
Hapa JF kuna watu 'wanajua' mambo mengi sana ya nyuma ya pazia,ila watu 'wasiojua' huingiza ubishi mwingi sana wanapoelezwa kuhusu mambo.(Mfano:kuna watu wakiambiwa kwamba uchawi upo kwenye maisha ya kawaida na kwenye soka,utashangaa mpuuzi mmoja anajitokeza na kusema "hayo mambo hayapo!na yangekuwepo basi sisi Tanzania tungelibeba Kombe la Dunia zamani sana", sasa mjinga kama huyu anayejitia ujuaji unabaki unamchora,ila baadae anakuja kuona matokeo yake).

Nikuulize swali Mkuu:ulishawahi kufatilia nyuzi nyingi za huyu mtoa post hasa kwenye soka letu?

Mimi nilishamwelewa zamani mno,Kuanzia ile mechi ya Simba vs Nkana na kuendelea hadi leo,threads zake huwa zinaleta matokeo aliyotabiri.Labda ya juzi ya Simba vs Al Ahly aliyosema itaisha kwa droo ndo alibugi kidogo.
 
Kuna kila dalili siku si nyingi mashabiki wengi wa mbumbumbu fc wakajikuta wanahamia Timu ya Wananchi! Haiwezekani kutwa wanaanzisha nyuzi za kuiongelea Timu ya Wananchi tu!

Ni aghalabu kuwakuta wanaanzisha nyuzi za kuijadili timu yao, na hasa kwenye mapungufu! Mbaya zaidi atokee mchambuzi wa watu na kuikosoa hiyo timu yao, basi watamshambulia kweli kweli! Badala ya kuyakubali madhaifu yao na kuyafanyia kazi.

Mbumbumbu fc, mnakosea wapi kwani?
We jinga Lao UPO?
 
We acha ushirikina.Hiyo yanga alifungwa na African sports ya Tanga.Kiwango cha yanga kimeshuka sana kwa sababu wachezaji wengi muhimu hawapumziki.Mfano Mukoko,Mwamnyeto,Fei n.k
Ukiangalia tu trend ya uchezaji wa yanga unajua wazi lolote laweza tokea.
Kwa tabia ya viongozi wao pia kulalamikia waamuzi na TFF,pia kusema eti kuna mkono wa Simba,kinafanya wachezaji washindwe kijitathmini.Mtu kakosa penalty, mkono wa Simba.
Pia kutokuwepo kwa mwambusi.Hili mtalijua mechi zinazoendelea huko mbele.
Mwambusi aliibeba yanga kimatokeo,amini usiamini.
Pumbavu huna unachokijua na kaa Kimya wenye Kuujua vyema Mpira wa Bongo na Fitina zake tukuambie sawa? Hakuna Soka ninalolijua na nalishiriki sana hadi katika Umafia wake ( hasa nje ya Uwanja ) kama hili la Bongo.

90% ya Wachezaji wa Timu Tatu Kubwa za Tanzania Azam, Simba na Yanga ni Wanangu ( Marafiki ) zangu Wakubwa tu na wengine nimecheza nao na walikuwa wakiniona wakiwa wadogo katika Ligi za chini na Kati.

Kinachoikumba Yanga SC hivi sasa chukua hii kutoka Kwangu ni kwamba Wachezaji wamepunguziwa Posho zao huku wengine wakikopwa Mishahara yao. GSM kapunguza Huduma kwakuwa Mauzo yake ya Jezi kapata Hasara na Kapigwa mno na Mawakala Wajanja wa huko Mikoani.

Kuna Fukuto Kubwa baina ya Uongozi wa Yanga SC chini ya Mwenyekiti Msola na Wadhamini wao Waandamizi akina GSM, Sports Pesa na Taifa Gas na kuna Mmoja hapo muda si mrefu atajitoa kwani anaona hapati Mileage ya kutosha na kwamba anayetajwa ni Mmoja tu GSM.

Kuna Chuki Kubwa imeingia baina ya Wachezaji wazawa wa Yanga SC na wale wa Kigeni. Wazawa wanalalamika kuwa Wageni wanapewa Vipaumbele na GSM katika VIP Treatment kuliko Wao wakati hawana hata Mchango wowote katika Timu huku wakilipwa Pesa nyingi.

Mamluki ndani ya Uongozi wa Yanga SC hadi kwa GSM wenyewe ambapo kuna Watu ndani ya Klabu ya Yanga wanadhaniwa kuwa ni Wana Yanga SC Kindakindaki lakini kumbe ndiyo Mafia kutokea upande wa Pili ( kwa Maadui zao ) ndiyo wanawamaliza na Binafsi All - Rounder nawajua in and out ila kwakuwa wapo huko Yanga SC kwa KAZI MAALUM wala siwataji mpaka wakamilishe Jukumu la Kimafia walilopewa.

Kuna Waganga Wawili wa Yanga SC ambao waliwasaidia mno Kipindi Cha nyuma Mmoja kutoka Kanda ya Nyanda za Juu Kusini Mkoa wa Rukwa na mwingine Kanda ya Ziwa Mkoa wa Mwanza Yanga SC wamewadhulumu Pesa zao hivyo nao walichokifanya ni Kuwamaliza ( Kuwaumiza ) Kiushirikina Wachezaji wao Waandamizi ( Tegemezi ) kama akina Saido, Sarpong na Carlinhos na kuleta Mfarakano baina ya Wachezaji na hili wamefanikiwa sana tu.

Wachezaji wa Yanga SC hawakupenda kabisa Kuondoka kwa Kocha wao Msaidizi na Kipenzi Juma Mwambusi kwani wanasema nje ya Kuwafundisha na Kuwaelekeza vyema ila alikuwa ni Mtu wa Kuwapigania mno Maslahi yao kwa Uongozi tofauti na Kocha Mkuu Kaze na Msaidizi wake Goigoi Nizar Khalfan. Mwambusi hakuondoka vizuri Yanga SC na ilitumika Nguvu kubwa sana ya Kipesa na Kiushawishi ili Kumtuliza na asiweze kusema ya ndani katika Media ila tuliobarikiwa Kufukunyua Mambo ya ndani kwa Mbinu zetu tumejua na ndiyo maana wala hatushangai Form ya Yanga SC Kushuka na kuanza Kufanya vibaya kama Jana huko Mkoani Tanga mbele ya Coastal Union FC.

Haya kwa sasa faidika na niliyokueleza.
 
Bila shaka kwa hiyo wewe utakuwa miongoni mwa hao waganga waliodhulumiwa pesa siyo...!?
Sawa kabisa, usijali nyoka mweusi na njiwa mweusi utawapata mkuu, hapo Arusha wapo wakutosha... vipi kama ukiongezewa na kapaka kadogo keusi si itakuwa poa sana...!?
 
Dozi hii mujarabu itakuwa imemtosha kibaravumba
 
Ila kweli wanateseka sana hawa vidimbwi kama huyu Ngosha hapa kaona isiwe tabu Yanga siyo mama yake.
IMG-20210305-WA0000.jpg
 
Ni hatari
 
Hilo la mamluki ni kweli wapo wengi tu.
 
Hii ilitakiwa iwe thread inayojitegemea, umetema madini pasipotakiwa.
 
Hapa JF kuna watu 'wanajua' mambo mengi sana ya nyuma ya pazia,ila watu 'wasiojua' huingiza ubishi mwingi sana wanapoelezwa kuhusu mambo.(Mfano:kuna watu wakiambiwa kwamba uchawi upo kwenye maisha ya kawaida na kwenye soka,utashangaa mpuuzi mmoja anajitokeza na kusema "hayo mambo hayapo!na yangekuwepo basi sisi Tanzania tungelibeba Kombe la Dunia zamani sana", sasa mjinga kama huyu anayejitia ujuaji unabaki unamchora,ila baadae anakuja kuona matokeo yake).

Nikuulize swali Mkuu:ulishawahi kufatilia nyuzi nyingi za huyu mtoa post hasa kwenye soka letu?

Mimi nilishamwelewa zamani mno,Kuanzia ile mechi ya Simba vs Nkana na kuendelea hadi leo,threads zake huwa zinaleta matokeo aliyotabiri.Labda ya juzi ya Simba vs Al Ahly aliyosema itaisha kwa droo ndo alibugi kidogo.
Mtu kama unafuatilia mpira na unaiangalia timu inavyoperform unaweza kubashiri matokeo.

Umewahi kusikia waganga wangapi wamevuna mamilioni ya kampuni za kubeti? Hizo kampuni zingefilisika.

Ila kama wewe mpira ni kujua matokeo tu akitokea mwenzako anayefuatilia akipredict na ikawa utasema kama unayoyasema hapa.
 
Back
Top Bottom