Umeona mkulu!Kesi nyingi zinaonyesha kuwa kuna ukweli hapo!
uongo mkubwa
Yes,kwa baadhi huwa hivyo,but percent kubwa furaha ndani ya ndoa ni miezi miwili tu ya kwanza,baada ya hapo ni timbwili juu ya timbwili ndani ya nyumba.Hapo kwa wanaume kabla/baada ya kuoa nina wasiwasi! Nadhani matokeo ni kinyume! Kwa sabab ukishaoa majukumu yanapungua! Mfano ulikuwa unapika, sasa unapikiwa, n.k.