Kama kuna mtu kamkopesha lowasa kwa ajili ya kampeni afute hilo deni kwani halilipiki

East African Eagle

JF-Expert Member
Jul 26, 2013
3,759
2,205
Kuna watu wana tabia ya kukopesha wanasiasa kwa ajili ya kampeni kwa ahadi kuwa watazilipa wakipata madaraka husika wengine hukopesha baada ya kupewa hati za dhamana kama za nyumba n.k wengine huamini tu hivi hivi.

Ushauri wangu wa bure ni kuwa kama kuna aliyemkopesha Lowasa hilo deni afute au kama ana dhamana aanze taratibu za kudai deni lake maana kuna uwezekano mkubwa wa hayo madeni kutolipika kabisa sababu ripoti zinaonyesha Magufuli ndie atashinda.Pia mgombea uraisi Lowasa kuna wakati anapoteza kumbukumbu yawezekana kabisa akapoteza kumbukumbu ya kukumbuka nani alimkopesha na alimkopesha nini.Hivyo mtu akienda kudai deni lake alipwe akiambiwa sikumbuki asishangae.

Ni ushauri tu kwa wale waliomkopesha Lowasa kama wapo.
 
Mods ondoeni huu uchafu wa Lumumba. huyu jamaa Nina mashaka wakati anauandika huu Uzi alikuwa kapakatwa.
 
Back
Top Bottom