Kama kuna mtu CCM inayemlaani basi atakuwa CAG!

kwenye sakata la jairo wabunge walimtolea azimio CAG kuwa awajibishwe.

Nadhani yale maazimio ya Bunge kuhusu yeye CAG kutotimiza wajibu wake vizuri kwa sakata la Jairo ndiyo yamemfanya aamue kukomaa na watenda maovu Serikalini sasa!
 
Back
Top Bottom