Kama kuna mtu anafahamu "Upwork" naomba uje tupige pesa wote

Kigorohe

Senior Member
May 21, 2019
160
253
Habari mwana JF Nipende kwende kwenye mada moja kwa moja.

Nimejaribu kujiunga na baadhi ya website za online working lakini kuna baadhi ya vipengele vinanishinda. Hivyo naomba kama kuna mtu ana uelewa wa namna ya kujaza profile ya upworking anielekeze hata kama ni kwa malipo.

Karibuni sana.
 
kuna email wamekutumia,click ile email
Screenshot_20191107-105552.png

Nakwama hapo, sijui nakosea wapi
 
Nimekwama hapo kama picha inavyoonesha mkuu naomba unisaidie najaza nini hapo?
Sidhani kama hapo ni tatizo kwa Upwork! Kwa sie tuliopo Upwork miaka kwa miaka sasa, enzi hizo ku-join ilikuwa bit simple lakini kwa sasa new comer ni ngumu kidogo. Hata hivyo, ugumu hautokani na hapo ulipotaja bali unatokana na sehemu unayotakiwa kuorodhesha skills zako!!

Hapo panakuwa pagumu zaidi kwa sababu hivi sasa Upwork ni kama wanajaribu kupunguza new entrants as Freelancers huku wakivutia new entrants ambao ni Clients/Employers. Kutokana na hilo, kuna uwezekano kila skills utakayoweka, unaweza kuambiwa hakuna nafasi kwa new entrants wenye skills ulizotaja.

So, hapo ndipo unapotakiwa ku-work out kuangalia ni skills zipi basi zitakuwa zinahitajika, kisha uziweke kwenye profile yako hata kama skills hizo huna! Yaani unawa-trick kwa matario kwamba baadae uta-edit au kutengeneza specialized skills!
 
Brother mi nimejisajiri upwork nikajaza skills zangu mara mbili nimekatliwa ila ya tatu naona ipobfresh

Sasa tatizo namna ya kujua kwamba kazi zilizofanywa nazijuaje na zisizofanywa nazijuaje
Sidhani kama hapo ni tatizo kwa Upwork! Kwa sie tuliopo Upwork miaka kwa miaka sasa, enzi hizo ku-join ilikuwa bit simple lakini kwa sasa new comer ni ngumu kidogo. Hata hivyo, ugumu hautokani na hapo ulipotaja bali unatokana na sehemu unayotakiwa kuorodhesha skills zako!!

Hapo panakuwa pagumu zaidi kwa sababu hivi sasa Upwork ni kama wanajaribu kupunguza new entrants as Freelancers huku wakivutia new entrants ambao ni Clients/Employers. Kutokana na hilo, kuna uwezekano kila skills utakayoweka, unaweza kuambiwa hakuna nafasi kwa new entrants wenye skills ulizotaja.

So, hapo ndipo unapotakiwa ku-work out kuangalia ni skills zipi basi zitakuwa zinahitajika, kisha uziweke kwenye profile yako hata kama skills hizo huna! Yaani unawa-trick kwa matario kwamba baadae uta-edit au kutengeneza specialized skills![/QUOTE]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari mwana JF Nipende kwende kwenye mada moja kwa moja.

Nimejaribu kujiunga na baadhi ya website za online working lakini kuna baadhi ya vipengele vinanishinda. Hivyo naomba kama kuna mtu ana uelewa wa namna ya kujaza profile ya upworking anielekeze hata kama ni kwa malipo.

Karibuni sana.
Mkuu pesa imekufanyia nini kibaya hadi uipige bana?

Fanyeni kazi!
 
buyoya419!

Naona umeni-quote ndivyo sivyo, kwahiyo sijafahamu unachouliza hasa ni nini manake maelezo niliyoyaona kwenye post yako ni yale ambayo niliyatoa miezi kadhaa iliyopita.

Fafanua, unauliza nini hasa!
 
Method of payment imekuwa na njia ndefu sana, upitie pioneer upitie mastercard sjui, wanakatakata hela yako hadi inakufikia theluthi tatu, wao wenyewe upwork wanakata 29%, pia kunakuwaga na kazi hewa za kukumalizia tu connects zako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah Mimi ,nimejiunga freelance.com,cjapata kazi nna wiki mbili Sasa,jaman ambao mnapata kazi adi mnazikataa mtuajiri na sisi wengine Basi ambao bado ni new tunateseka kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimejiunga na upworking ila sijajua njia wanayotumia nalipo.
Kama kuna mtu anafahamu naomba anipe maelekezo

Sent using Jamii Forums mobile app
Unamaanisha malipo?! Kama NDIYO, ingia Setting, kisha shuka chini utaona sehemu imeandikwa GET PAID. Ukisha-Click hapo, tafuta tafuta utaona sehemu imeandikwa PAYMENT METHODS kisha kwa pembeni utaona ADD METHOD. Hapo utaweka njia unazotarajia kutumia kutoa pesa; kwa mfano unaweza kuweka Bank Account yako.

Lakini ili kubana matumizi, itakuwa busara zaidi kama utafungua Payoneer Account inayoweza kukusaidia kutoa kiasi kidogo cha pesa kwa ada ndogo manake ukitumia bank kwa amount ndogo ni pasua kichwa!!!

NB: Unaweza kuendelea na kazi kama kawaida bila kuweka hizo payment methods kwa sababu pesa utakayopata itakuwa inahifadhiwa kwenye akaunti yako ya Upwork lakini ukitaka kutoa ndo lazima upitishie kwenye hizo payment methods.
 
Unamaanisha malipo?! Kama NDIYO, ingia Setting, kisha shuka chini utaona sehemu imeandikwa GET PAID. Ukisha-Click hapo, tafuta tafuta utaona sehemu imeandikwa PAYMENT METHODS kisha kwa pembeni utaona ADD METHOD. Hapo utaweka njia unazotarajia kutumia kutoa pesa; kwa mfano unaweza kuweka Bank Account yako. Lakini ili kubana matumizi, itakuwa busara zaidi kama utafungua Payoneer Account inayoweza kukusaidia kutoa kiasi kidogo cha pesa kwa ada ndogo manake ukitumia bank kwa amount ndogo ni pasua kichwa!!!

NB: Unaweza kuendelea na kazi kama kawaida bila kuweka hizo payment methods kwa sababu pesa utakayopata itakuwa inahifadhiwa kwenye akaunti yako ya Upwork lakini ukitaka kutoa ndo lazima upitishie kwenye hizo payment methods.
Asante sana.je kama nataka kubadilisha kazi nifanyaje.....
Na je unaweza tumia lugha yoyotee au.ni mpaka kingereza tu????
 
Back
Top Bottom