Kama kuna mtu anadhani anaweza kuua CHADEMA basi ni lazima atakuwa Mwehu , mwenye akili timamu hawezi kuwaza kwa kiwango duni kiasi hicho

kwenye ccm wewe ni dagaa mchele , sisi tunapambana hadharani na gizani na wakubwa wako sana , huna , hujawahi na wala hutakuja kuwa na uwezo wa kumpangia Mungu kazi , jiangalie sana .
Stupid. Nakuonya tena, usimhusishe Mungu na upuuzi wenu. And FYI, I joined chadema before even your fucken mother knew it.
 
kwenye ccm wewe ni dagaa mchele , sisi tunapambana hadharani na gizani na wakubwa wako sana , huna , hujawahi na wala hutakuja kuwa na uwezo wa kumpangia Mungu kazi , jiangalie sana .
Ndugu Erythro, kwanza sikutegenea mtu mstaarabu kama wewe, kumwita mwenzio Dagaa Mchele, hiyo ni below the belt na hastahili.

Kuhusu hii mada yako, chama kikisha ota mizizi ni vigumu kukimaliza au kukiuwa. Waswahili wanasema Jungu Kubwa halikoso ukoko. It is imposible to eliminate any party, kilicho na wanachama nchi nzima. Kinaweza kuwa dhaifu na kuzorota lakini sio kifo cha pono.
 
Stupid. Nakuonya tena, usimhusishe Mungu na upuuzi wenu. And FYI, I joined chadema before even your fucken mother knew it.
njia pekee ya masikini kupambana na tajiri ni kutumia matusi na uchawi , hata hivyo hakuwahi kufanikiwa !
 
Ni rahisi kuifanya chatu kuwa Dubai kuliko kuuwa upinzani.Sehemu pekee ccm yaweza shinda bila polish ni dodoma.
 
I wouldn’t worry kuhusu chadema kufa ama kufufuka. Ninge worry kuhusu chadema kuzidi kukuwa kama chama kikuu cha upinzani (na sio ACT ku take over)..... na ninge worry chadema kiwe chama cha demokrasia ya kweli ili vijana wengi wakiamini na kujiunga nacho ili kiitoe ccm madarakani kwa kutumia nguvu kubwa za wananchi.... zitakazoizidi nguvu ya polisi, dola, tume nk.
Hizi nyingine ni kusutana... nani alisema nk
 
Back
Top Bottom