Kama kuna mtu anadhani anaweza kuua CHADEMA basi ni lazima atakuwa Mwehu , mwenye akili timamu hawezi kuwaza kwa kiwango duni kiasi hicho

Mi natabiri ufipa pigo moja tu takatifu genge zima chali subiri kesi yao ya uuaji iamuliwe! Wakishinda big up sana mtasurvive, wakiangukia pua mmekwisha, bye! Yule mdudu hatari akiingia kwenye 18 hupondwa kichwani!
 
Wale wamesaidia kuuwa Chadema ?
CCM ina kitu kinaitwa self evaluation...ndiyo maana kila baada ya muda fulani wanakuja na mikakati mipya ya namna ya kuboresha mbinu za kuwasaidia wananchi. Ukikosa self evaluation kwenye chama ndiyo matokeo ya chama kama chadema kuwa katika hali iliyonayo. Hawana self-evaluation, na si kwamba hawana uwezo wa kufanya hivyo la hasha wanao tena sana...ruzuku wanapata...na michango ya wanachama na wasio wanachama (rejea SABODO) wanapata pia. Kibaya uwezo huu wanautumia ku'evaluate' mgombea wa chama kuelekea uchaguzi mkuu. Kibaya sana tena sana wanatumia makampuni ya kigeni kufanya kazi hiyo tena kwa gharama kubwa badala ya kutumia rasilimali watu walionao kwenye chama ambao wanauwezo wa kufanya hivyo.

Ewe mleta uzi huu...ni kweli huna uwezo wa kukisaidia chama cha chadema kufanya 'self-evaluation' ili kiboreshe mikakati yake ya kuwatumikia wa Tanzania ?
 
Mi natabiri ufipa pigo moja tu takatifu genge zima chali subiri kesi yao ya uuaji iamuliwe! Wakishinda big up sana mtasurvive, wakiangukia pua mmekwisha, bye! Yule mdudu hatari akiingia kwenye 18 hupondwa kichwani!
Jela haijawahi kumaliza upinzani , jaribu kufanya utafiti , Nelson Mandela pamoja na kufungwa jela miaka 27 bado haikuzuia yeye kuwa Rais , njama zote tunazijua na ndio maana inahitaji akili kubwa sana kuyajua haya
 
Natural death tu..

Chadema itakufa yenyewe baada ya 2020 hamna hata hajayakusumbuka na Chama kilichopoteza ethics zake
 
CCM ina kitu kinaitwa self evaluation...ndiyo maana kila baada ya muda fulani wanakuja na mikakati mipya ya namna ya kuboresha mbinu za kuwasaidia wananchi. Ukikosa self evaluation kwenye chama ndiyo matokeo ya chama kama chadema kuwa katika hali iliyonayo. Hawana self-evaluation, na si kwamba hawana uwezo wa kufanya hivyo la hasha wanao tena sana...ruzuku wanapata...na michango ya wanachama na wasio wanachama (rejea SABODO) wanapata pia. Kibaya uwezo huu wanautumia ku'evaluate' mgombea wa chama kuelekea uchaguzi mkuu. Kibaya sana tena sana wanatumia makampuni ya kigeni kufanya kazi hiyo tena kwa gharama kubwa badala ya kutumia rasilimali watu walionao kwenye chama ambao wanauwezo wa kufanya hivyo.

Ewe mleta uzi huu...ni kweli huna uwezo wa kukisaidia chama cha chadema kufanya 'self-evaluation' ili kiboreshe mikakati yake ya kuwatumikia wa Tanzania ?
porojo tupu ! mngekuwa na uwezo huo mngehangaika kutumia polisi na watekaji ?
 
Wakuu natanguliza salamu , baada ya salamu najikita kwenye mada bila kuremba , kwa mtu yeyote anayedhani anaweza kuua Chadema kwa njia yeyote anayoitumia , iwe biashara ya binadamu , iwe kwa kutumia MA DC , MA RC ama labda kwa kutumia polisi au watu wasiojulikana basi afya yake ya akili itazamwe upyaView attachment 829491
Baada ya kwenda Lusaka nchini Zambia kwa usafiri wa anga na kuhudhuria onyesho la Music la Koffie Olomide Mopao ( ikumbukwe kwamba mimi ni Kijana Tajiri na mpenzi wa kutupwa wa music wa kikongo , ambao kwa sasa si rahisi kuupata nchini Tanzania baada ya mapromota wote kufirisika kutokana na matatizo makubwa ya uchumi ) nikaamua kufanya ziara maalum kwa kutumia gari ili kukagua uhai wa Chadema , Nimepita Nyanda za Juu kusini , kwa maana ya mikoa ya Rukwa , Songwe , Mbeya na wilaya zake zote , Iringa , Njombe na kumalizia mkoa wa Ruvuma , ama kwa hakika ukiwa na akili timamu huwezi hata kuthubutu kufikiria kuua chadema achilia mbali kutamka hadharani.View attachment 829501

Mizizi iliyojikita nayo Chadema kwenye eneo hili si tu kwamba si rahisi kuing'oa bali haiwezekani kamwe ! Chadema inaongoza mitaa , kata na halmashauri kadhaa na jambo kubwa zaidi ni namna wananchi wanavyoheshimu uongozi wa chadema kwenye maeneo yaoView attachment 829502

Taarifa nilizokusanya zinaonyesha kwamba ile mbinu ya kizamani ya kuhonga vibaba vya unga ili kushawishi wananchi kuunga mkono ccm kwenye ukanda huu imegonga mwamba kutokana na uwezo wa wananchi wa eneo hilo kujitosheleza karibu kwa kila kitu hivyo kuwa na uwezo wao wa kiuchumiView attachment 829503

Nguzo kuu ya Chadema ni utulivu wa viongozi wake unaotokana na weredi na usomi wao , kama unataka kupoteza muda wako endelea na mawazo mgando ya kudhani unaweza kuua chadema
Chadema kilishakufa mkuu sasa hivi kimebaki kama NCCR na aliyekiua ni Lowasa kama Mangi wa Kiraracha slivyoiua NCCR mjiangalie sana kupokea mizoga kutoka ccm. Mwakani mkipokea mzoga mwingine mtabaki kama IYP ama TLP
 
Yule bwana aliyetuhaidi atahakikisha upinzani umekufa MBONA hatuoni dalili maana imebaki miezi 6 tufike 2020.
 
Back
Top Bottom