Kama kuna mtu aliwahi kukutana na mkasa wa hivi, tuambie

Duh, tena unaweza kuta ni kitoto cha buku mbili hapa juzi tu
 
Mil 2.5 utaitoa wapi wewe dogo juzi tu ulikuwa unalilia mkopo wa bodi
 
Huyu ni mdada mzuri sana, ana umbo la kuvutia.

Niliunganishiwa na mdada mwenzie ila kwa kua anatamaa alimdanganya kua mimi nina hela hivo akaingia king.

Juzi nilimtafuna nkamuachia 30K, sasa jana kanipiga kiznga nadhani stakuha kupigwa kizinga cha hivi.

kama kuna mtu aliwai kukutana na mkasa wa hivi ashuke chini.View attachment 1969285
Heee 2.5M qmqmqee
 
What?

FB_IMG_16341381637027702.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom