Kama kuna mtu alikukosea mwaka huu 2019 msamehe ,uingie mwaka 2020 ukiwa na utakaso ,na kama una kibur,dharaub,unatukana watu hovyo humu JF soma hapa

Course Coordinator

JF-Expert Member
Jul 27, 2019
1,681
3,065
Dada mmoja alikuwa airport akisubiri connetion ya ndege yake, wakatangaziwa ni 2 hrs waiting time. Akaamua kununua gazeti na box Dogo la biscuits, akatafuta sehemu akakaa kusoma gazeti kusubiri muda ufike wa kuingia kwenye ndege, alipokaa pembeni yake
kulikuwa na kaka nae anasoma gazeti
akisubiri ndege.
Dada alishangaa alipokuwa akitoa biscuit kwenye box aliloliweka
pembeni yule kaka nae anachukua biscuit moja
anakula, akamwangalia kwa hasira, kaka akawa anatabasamu.
Dada akakasirika akataka kumtolea maneno machafu akajizuia kidogo .Ukawa ndo mchezo kila dada
akichomoa biscuit moja yule kaka nae anachomoa biscuit moja. Ikaendelea hadi ikabakia
biscuit moja. Yule kaka akawahi kuichukua
akaimega nusu akampa yule dada, ...dada kwa ghadhabu akanyanyuka akamtukana sana yule kaka na maneno ya kumdhalilisha
kwanini anavamia vitu vya watu asinunue vyake!! Kaka alikaa kimya bila kumjibu yule dada.
Mara wakatangaziwa muda wa kuingia
kwenye ndege, yule dada akaingia akimuacha yule kaka nae akisubiria ndege..
Yule dada aliipokaa kwenye siti yake akafungua mkoba ili
aweke simu yake, mara alishtuka kuona box
lake la biscuits lipo ndani ya mkoba na ni zima wala halijafunguliwa,
kumbe alikuwa anakula biscuits za yule kaka. Akajutia sana akatokwa na machoz jinsi alivyomdhalilisha yule kaka, na muda
wa kurudi kuomba msamaha haupo tena
kwani milango ya ndege ilishafungwa na
kuanza kuondoka. "Muda wa kuomba msamaha kwa
uliyemkosea upo usisubiri milango ifungwe"...
Kiburi ni sifa ya Shetani..
Nawatakia mwisho mwema wa mwaka 2019. KUPENDANA NI AMRI kutoka kwa Mungu wetu so ndugu zangu please tuache majigambo tuombane msamaha na tusameheane! mfanyie mwenzako wema ili kuonesha upendo hata kama ulimkosea apate kukusamehe...karibu 2020 nimekusamehe naomba unisamehe kwa lolote lile tulilokoseana.
 
acha hakuna msamaha hapa. Tunamtaka Lisu, Azory, Ben, Mawazo na wale waliotupwa Coco beach kwenye sandarusi1
 
Kwamba hadi waonekane hao ndo usamehe mkuu ?
Msamaha sio lazima ni hiari lakini inakubidi kuutoa usahau mambo mengine .
 
sinaga kinyongo na mtu... Silalagi na kisasi moyoni.. Nalala na Amani yangu... Mtu akinikosea sana nikashindwa kumbanika kabla ya saa sita usiku.. Yaani kabla siku haijapinduka.. Hujutia na kufanya kitubio

Jr
 
Ukishindwa kusamehe lipa kisasi

Mhhhh hii kali ....kumbanika hapo utakuwa umeongea na mzee matanangae .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom