Kama Kuna member JF mwenye hii tabia akome na ikiwezekana atoke jamvini. Ni tabia ya kipepo

Humu jf kuna wanawake wazuri nafsi hadi matendo kikweli, Mungu awabariki wazidi kuwa hivyo... Kita kitu kina pande mbili.. Kama kuna wabaya basi na wazuri mmo...
Naamanisha ana uhakika gani kama wanawake wengu humu JF wapo hivo? Any research au statistics??
 
Back
Top Bottom