Hannah
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 8,950
- 35,403
Mbona umefunga sasa pm. Umeniogopa?Kwa hio sura yako hapo naomba na mm unishambulie PM
Mbona umefunga sasa pm. Umeniogopa?Kwa hio sura yako hapo naomba na mm unishambulie PM
Mbona umefunga sasa pm. Umeniogopa?
Naamanisha ana uhakika gani kama wanawake wengu humu JF wapo hivo? Any research au statistics??
Na nyie ni mahouse boy
yes, exactly that was my pointHumu jf kuna wanawake wazuri nafsi hadi matendo kikweli, Mungu awabariki wazidi kuwa hivyo... Kita kitu kina pande mbili.. Kama kuna wabaya basi na wazuri mmo...
Ubarikiwe sanaaayes, exactly that was my point
Hivi wanaongeaga nini?Mwanamke ni kiumbe pekee kuongea na ShetanI live.