Kama kuna kitu kinalipa maishani kuliko vyote ni siasa

Jumong S

JF-Expert Member
Jul 3, 2013
7,312
10,492
Yes! Siasa inalipa kuliko vyote! Umemuona mama Kikwete? Wale wanalipwa millions za ustaafu kila mwezi, but Bado wanajigalagaza kwenye vumbi wapate ubunge! Yaani baba, mama na mtoto (baba anatoa assist).

Umemuona Dk Gwajima? Huyu jamaa aliwadanganya hadhira yake kuwa ana cheo kuliko hata raisi Ila Leo kaweka helikopta pembeni, hammer pembeni na uongo wa kukomba sadaka ili tu apate ubunge! Ukimuona anavyojikomba mitaani hutaamini Kama ni yule aliyekuwa anatukana watu!

Wapo kibao, Kuna ambao wanatembea na mihirizi ili tu wapate ubunge! Maprof, ma-Dr nk wanaacha kazi zao nzuri ili wakale vya bure bungeni!

Huko kwenye Ubunge Kuna nini? Wanafuata kweli kuwatumikia wananchi?

Tusidanganyike!
 
Back
Top Bottom