Kama kujiua au kuwaua wengine ni kosa la jinai, basi na kukataa chanjo ya Corona ni kosa la jinai, HOW?

Governments and/or institutional policy-makers should use arguments to encourage voluntary vaccination against COVID-19 before contemplating mandatory vaccination.

Efforts should be made to demonstrate the benefit and safety of vaccines for the greatest possible acceptance of vaccination.
Naomba definition ya ‘Vaccine’
 
Kama una muda kusoma kidogo...... compulsory vaccination siyo ngeni

STUDENT ESSAY: Is Compulsory COVID-19 Vaccination a Violation of Human Rights?

Aaron Chia

State obligations under ECHR and compulsory vaccination

Regarding the potential implementation of a compulsory vaccination, the primary source of law to be considered is the ECHR, which was incorporated into UK law through the Human Rights Act 1998.[19] Article 2 of the ECHR concerning the right to life is of upmost importance in this context as it places positive and negative obligations on the state. Interpretation of this Article is summarized by the ECtHR in L.C.B. v The United Kingdom (1998), stating that “the state must not only refrain from the intentional and unlawful taking of life, but also take appropriate steps to safeguard the lives of those within its jurisdiction.”[20] Specifically regarding the positive obligation, states have a “primary duty to put in place a legislative and administrative framework designed to provide effective deterrence against threats to the right to life.”[21] As suggested by Camilleri, the positive obligation deriving from Article 2 may lead to claims that, in the context of a public health emergency, a vaccine should be made mandatory for those who are able to receive it, in order to protect those who rely on herd immunity for protection against such diseases.[22] However, when considering a narrower compulsory vaccination claim, the case of Calvelli and Ciglio (2002) is highly relevant as the court applied the positive obligation principle of Article 2 specifically to “the public health sphere”, stating that the obligation “requires states to make regulations compelling hospitals, whether public or private, to adopt appropriate measures for the protection of their patients’ lives.”[23]

This concept is demonstrated through a number of examples where the MMR vaccine, among others, has been made a legal requirement for healthcare professionals. Countries such as Canada, Australia, and several Caribbean countries, as well as some countries in Europe, have polices whereby certain vaccinations are a requirement by law for those directly in the healthcare sector, one of them being the UK.[24] In addition, there are a number of governments that have adopted similar policies with specific focus on the education sector. For example, in Italy, France, three provinces of Canada, as well as the United States, there is a requirement for children to be vaccinated in order to attend public or private schools.[25] An important element of this requirement is that they allow for medical, religious, and philosophical exemptions, aside from Mississippi, West Virginia, and California, which now only allow for medical exemptions.[26] In countries such as Australia, although vaccinations for children are not mandatory, the government offers financial incentives to have their children vaccinated. This is through non-taxable payments for each child who meets the requirements for immunization.[27]

One of the key outcomes of the implementation of these mandatory vaccination policies is that the government has not only taken positive action to protect the right to life of individuals within their jurisdiction, but they have ensured that individuals who rely on herd immunity are able to fully enjoy their human rights and fundamental freedoms the same way every other individual is able to, without putting their own lives at risk.
Governments and/or institutional policy-makers should use arguments to encourage voluntary vaccination against COVID-19 before contemplating mandatory vaccination.

Efforts should be made to demonstrate the benefit and safety of vaccines for the greatest possible acceptance of vaccination.
 
Kwa sasa Marekani wanaolazwa mahospitali zaidi ya 97% ni wasiochanjwa. Wanaokufa kwa Covid zaidi ya 99% ni wasiochanjwa.

Kwa hivyo, tukifanikiwa kuchanja wote wanaotaka kuchanjwa na kuwaacha wasiotaka kuchanjwa wasichanjwe, watakaolazwa hospitali na kufa kwa asilimia hizo za juu ni wasiotaka kuchanjwa.
One of the most obligation of a government is to save its people's lives! Huwezi ukawaaxcha watu wafe kwa kutojua wakati wewe ndiye unajua kuwa kuokoa maisha yao ni acbd..... ni dhambi kubwa!
 
Simple logic inaniongoza hivi:
1. Kwa ugonjwa wa corona, kama kuna reservoir/hot spots/potential hotspots ambao ni unvaccinated individuals herd immunity will not be attained.
2. It follows then that in order to get herd immunity and eliminate the virus, all should be vaccinated
3. And to attain mass vaccination compulsory regime must be imposed/in place
The irresistible conclusion is that avoiding being vaccinated is infecting others and this is tantamount to killing others

THIS IS WHAT MBOWE WAS TRYING TO PUT FORWARD, FOR THE SAFETY OF EVERYONE OF US

ANGALIZO: Kama huna ABCD of vaccinology jipitie salama bila matusi
Andika kwa kiswahili kwanza.. kha
 
Waacheni watu waamue. Kuishi kwa kulazimishwa kunapunguza thamani ya maisha. Anayeona ni sawa afe kwa sababu hataki chanjo aruhusiwe kufa tu.
nimechoka! sema waelimishwa.. siyo kuwaacha. Kuna watu hawana mbele na nyuma wanahitaji kuelimishwa
 
Wewe umechanganyikiwa, herd immunity inapatikana kwa kuacha watu waambukizwe na kupona wenyewe, sio kwa kuchanjwa. Pia chanjo inamkinga aliyechanjwa, sasa mimi nisiechanjwa kama nakuhatarisha kwanini wewe usichanjwe ili uwe salama?Pia naomba definition ua ‘Chanjo’
Herd Immunity hupatikana kwa kuchanja watu, wale waiochanjwa wanahatarisha waliochanjwa kwa sababu kuiacha hiyo virus iendelee kusambaa ndio kunasababisha zitokee variants nyingine...unafikiri kwa nini sasa hivi tunaambiwa kuna delta variant ? Ikitokea enough changes ya hiyo virus inaweza kupunguza effectiveness ya chanjo...ndio maana hata WHO wanajaribu kushirikisha dunia nzima wapate chanjo....mataifa yenye hela yanaweza kuamua kuchanja watu wake kama walivyofanya lakini mwisho wa siku hakuna aliye salama mpaka population kubwa iwe imepata chanjo
 
asante sana.. bravo!
 
Naam.

Ukianza kulazimisha chanjo ndiyo unachochea conspiracy theories za kusema chanjo ni ya Bill Gates anataka Waafrika wasizaane.

Pia Kifalsafa mimi sipendi kulazimishana chochote. Nafikiri tunaweza kufundishana na kujenga ushawishi wa kufanya watu waelewe na kukubali chanjo. Sisi si ng'ombe, sisi ni watu tuna uwezo wa kufikiri kwa hali ya juu.

Mtu anayependa chanjo akilazimishwa asichanje ni kitu kibaya. Asiyependa chanjo akilazimishwa achanje ni kitu kibaya.

Bila kukusudia argument ya kulazimisha chanjo inasababisha watu wengi sana wakatae chanjo.

Watu waelimishwe, wachanje kwa hiyari.

Wakikataa kuchanjwa waachiwe.

Kwa sasa Marekani wanaolazwa mahospitali zaidi ya 97% ni wasiochanjwa. Wanaokufa kwa Covid zaidi ya 99% ni wasiochanjwa.

Soma hapa

Kwa hivyo, tukifanikiwa kuchanja wote wanaotaka kuchanjwa na kuwaacha wasiotaka kuchanjwa wasichanjwe, watakaolazwa hospitali na kufa kwa asilimia hizo za juu ni wasiotaka kuchanjwa.

Waacheni watu waamue. Kuishi kwa kulazimishwa kunapunguza thamani ya maisha. Anayeona ni sawa afe kwa sababu hataki chanjo aruhusiwe kufa tu.

Labda tunaweza kupunguza idadi ya wajinga.

Sasa unataka kukataa kupunguza idadi ya watu wajinga na vizazi vyao duniani?
Kuna muda ninaona kuna manufaa kama uzawa wa wajinga ukapungua, watakuwa ni funzo kwa wengine ila tatizo ni moja tu, wale ambao wameamua kutokuchanjwa wanapotumia nguvu kulazimisha watu wasichanjwe, walitumia hata nguvu kuchelewesha chanjo kufika nchini (Magufuli and co.) wameshadanganya watu ambao wangeweza kufanya maamuzi sahihi iwapo wangepewa taarifa sahihi na wanaendelea kutisha watu. Ningependa kama kungekuwa na mdahalo hata kwenye vyombo vya habari kati ya wale wanaokubaliana na chanjo na wale wasiokubaliana nayo, ili wananchi zaidi wakapata kuchagua mbivu na mbichi.

Screenshot from 2021-07-25 19-32-46.png
Screenshot from 2021-07-25 19-33-38.png
Screenshot from 2021-07-25 19-34-04.png
 
Kuna muda ninaona kuna manufaa kama uzawa wa wajinga ukapungua, watakuwa ni funzo kwa wengine ila tatizo ni moja tu, wale ambao wameamua kutokuchanjwa wanapotumia nguvu kulazimisha watu wasichanjwe, walitumia hata nguvu kuchelewesha chanjo kufika nchini (Magufuli and co.) wameshadanganya watu ambao wangeweza kufanya maamuzi sahihi iwapo wangepewa taarifa sahihi na wanaendelea kutisha watu. Ningependa kama kungekuwa na mdahalo hata kwenye vyombo vya habari kati ya wale wanaokubaliana na chanjo na wale wasiokubaliana nayo, ili wananchi zaidi wakapata kuchagua mbivu na mbichi.

View attachment 1867937View attachment 1867938View attachment 1867939
Kuna watu wanaomba chanjo wakiwa kutandani wakiwa wamezidiwa. Too late.

Mijadala inaendelea sana Clubhouse, hata sasa hivi kuna mjadala unaendelea.
 
Back
Top Bottom