Kama kujiua au kuwaua wengine ni kosa la jinai, basi na kukataa chanjo ya Corona ni kosa la jinai, HOW?

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
29,988
2,000
Simple logic inaniongoza hivi:
1. Kwa ugonjwa wa corona, kama kuna reservoir/hot spots/potential hotspots ambao ni unvaccinated individuals herd immunity will not be attained.

2. It follows then that in order to get herd immunity and eliminate the virus, all should be vaccinated

3. And to attain mass vaccination compulsory regime must be imposed/in place

The irresistible conclusion is that avoiding being vaccinated is infecting others and this is tantamount to killing others

THIS IS WHAT MBOWE WAS TRYING TO PUT FORWARD, FOR THE SAFETY OF EVERYONE OF US

ANGALIZO: Kama huna ABCD of vaccinology jipitie salama bila matusi
 
Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
29,988
2,000
Unawezachoma hiyo vaccine na bado ukafa kwa covid pia unaweza usichome vaccine na ukasavive hizi vaccine zinazoingia ni za wimbi la kwanza na La pili wapo waliochoma na wamekufa nimeona
Perfect, but the general principle of vaccines still holds perfectly! we need to avoid mass deaths
 
Cannabis

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
5,367
2,000
Perfect, but the general principle of vaccines still holds perfectly! we need to avoid mass deaths
Governments and/or institutional policy-makers should use arguments to encourage voluntary vaccination against COVID-19 before contemplating mandatory vaccination.

Efforts should be made to demonstrate the benefit and safety of vaccines for the greatest possible acceptance of vaccination.
 
Attachments

  • File size
    195.6 KB
    Views
    3

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
29,988
2,000
Governments and/or institutional policy-makers should use arguments to encourage voluntary vaccination against COVID-19 before contemplating mandatory vaccination.

Efforts should be made to demonstrate the benefit and safety of vaccines for the greatest possible acceptance of vaccination.
And I do not condone compulsory vaccination. Kumlazimisha mtu hapana......Tuwaelimishe watu wachanje kwa hiari zao.
 
FRANC THE GREAT

JF-Expert Member
May 27, 2016
4,514
2,000
Yeah! Sera za namna hiyo hutekelezwa kwa kuzingatia kanuni moja maarufu inayofahamika kama The Harm Principle!

Baadhi ya watu wa afya, pia na wale wa masuala ya philosophy watafahamu kile ninachokisema.

The Harm Principle inapendekeza kwamba, nguvu ama shinikizo ambalo ni halali (justified) linaweza kutumika dhidi ya mtu ama watu fulani ili kukinga wengine na hatari inayoweza kusababishwa na mtu huyo ama hao.

Hii ni kanuni ambayo hutumika sana katika masuala ya afya hasa wakati wa dharura kama vile milipuko ya magonjwa. Mfano, Covid-19 n.k.

Cannabis

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
5,367
2,000
And I do not condone compulsory vaccination. Kumlazimisha mtu hapana......Tuwaelimishe watu wachanje kwa hiari zao.
Probelm ni what to do to those who are running campaigns to discourage people from getting vaccinated....Ikumbukwe serikali inaingia gharama kubwa kuleta hizo chanjo na kuzifanya ziwe bure, kama watu hawatachanjwa zita expire na kutupwa.... inajulikana kabisa currently acceptance ya CoVID vaccines nchini kwetu ipo chini sana...halafu anakuja mtu kama Gwajima anaendelea kusambaza kampeni yake kwamba chanjo ni hatari..serikali ifanye nini ?
 
FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
25,827
2,000
Wewe umechanganyikiwa, herd immunity inapatikana kwa kuacha watu waambukizwe na kupona wenyewe, sio kwa kuchanjwa. Pia chanjo inamkinga aliyechanjwa, sasa mimi nisiechanjwa kama nakuhatarisha kwanini wewe usichanjwe ili uwe salama?Pia naomba definition ua ‘Chanjo’
 
Vesuvius

JF-Expert Member
Jun 27, 2021
571
1,000
Simple logic inaniongoza hivi:
1. Kwa ugonjwa wa corona, kama kuna reservoir/hot spots/potential hotspots ambao ni unvaccinated individuals herd immunity will not be attained.
2. It follows then that in order to get herd immunity and eliminate the virus, all should be vaccinated
3. And to attain mass vaccination compulsory regime must be imposed/in place
The irresistible conclusion is that avoiding being vaccinated is infecting others and this is tantamount to killing others

THIS IS WHAT MBOWE WAS TRYING TO PUT FORWARD, FOR THE SAFETY OF EVERYONE OF US

ANGALIZO: Kama huna ABCD of vaccinology jipitie salama bila matusi
Ianzie machame hiyo chanjo..koona imeweka kambi huko. Wadungwe dozi sita sita kabisa
 
Kiranga

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
58,402
2,000
Governments and/or institutional policy-makers should use arguments to encourage voluntary vaccination against COVID-19 before contemplating mandatory vaccination.

Efforts should be made to demonstrate the benefit and safety of vaccines for the greatest possible acceptance of vaccination.
Naam.

Ukianza kulazimisha chanjo ndiyo unachochea conspiracy theories za kusema chanjo ni ya Bill Gates anataka Waafrika wasizaane.

Pia Kifalsafa mimi sipendi kulazimishana chochote. Nafikiri tunaweza kufundishana na kujenga ushawishi wa kufanya watu waelewe na kukubali chanjo. Sisi si ng'ombe, sisi ni watu tuna uwezo wa kufikiri kwa hali ya juu.

Mtu anayependa chanjo akilazimishwa asichanje ni kitu kibaya. Asiyependa chanjo akilazimishwa achanje ni kitu kibaya.

Bila kukusudia argument ya kulazimisha chanjo inasababisha watu wengi sana wakatae chanjo.

Watu waelimishwe, wachanje kwa hiyari.

Wakikataa kuchanjwa waachiwe.

Kwa sasa Marekani wanaolazwa mahospitali zaidi ya 97% ni wasiochanjwa. Wanaokufa kwa Covid zaidi ya 99% ni wasiochanjwa.

Soma hapa

Kwa hivyo, tukifanikiwa kuchanja wote wanaotaka kuchanjwa na kuwaacha wasiotaka kuchanjwa wasichanjwe, watakaolazwa hospitali na kufa kwa asilimia hizo za juu ni wasiotaka kuchanjwa.

Waacheni watu waamue. Kuishi kwa kulazimishwa kunapunguza thamani ya maisha. Anayeona ni sawa afe kwa sababu hataki chanjo aruhusiwe kufa tu.

Labda tunaweza kupunguza idadi ya wajinga.

Sasa unataka kukataa kupunguza idadi ya watu wajinga na vizazi vyao duniani?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom