Kama kufanyakazi kwa bidii ndio kufanikiwa wanawake wa afrika wangekuwa mabilionea

mdukuzi

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
19,991
49,096
JPM anataka Tanzania iwe na uchumi wa kati,
hili haliwezekani kama hatutabadilisha mtazamo wetu wa kufanya kazi
wafanyakazi wengi serikalini wanafanya kazi masaa 3-4 kwa siku ,muda uliobaki wannsoma magazeti,wanachat,story,majungu,kuzunguka zunguka bila sababu nk
je tukifanya kazi kwa bidii ndio tutafanikiwa? ,jibu ndio au hapana
hapana kwa sababu kama kufanya kazi kwa bidii ndio kufanikiwa wanawake wa afika wangekuwa mabilionea
akili za kuambiwa changanya za za kwako
 
Ungemalizia kufanya kazi kwa bidii maarifa.usituletee akili zako za abunuasi hapa.
 
Bila kupepesa macho, wanawake wengi wa afrika wamapiga kazi!
Na kwa hapa Tz nafikiri wanawake wa Kilimanjaro na Mbeya wangekuwa mbali sana.
 
Back
Top Bottom