#COVID19 Kama kuchanja ni hiari, kwanini nguvu kubwa inatumika kuwalaumu wasiotaka chanjo?

Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
3,086
4,879
Viongozi wetu hebu Busara itumike kwenye hili la Chanjo badala ya Vitisho na Kauli za Ubabe.

Nakumbuka mlihubiri kwenye Mikutano yenu Kuwa Kuchanjwa ni hiari na Sio lazima kama Ndio hivyo kwanini Nguvu kubwa inatumika Kuwashambulia Wasiotaka kuchanjwa?

Wanaotaka chanjo wakachanje Wasiotaka waacheni Uamuzi wa Kulinda AFYA ni wa MTU mwenyewe
 
Wao wachanje Tu ili mabosi wap wawafurahishe, ila sie tunawachora tuu, unachanja alaf unasaini hati ya kifo au kuishi , chanjo gani hyo
 
muhimu.jpeg
 

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom