Kama Kiswahili ndio lugha ya Taifa, Serikali ihakikishe kinatumika katika nyanja zote muhimu ikiwemo Elimu

Officially Tanzania ni Bi-Lingual country...kama mnataka lugha moja then tupige kura

Kura yangu ni Kingereza..tutakua tupo positioned way ahead of everybody internationally in business,education,tourism,services,etc

KIswahili kibaki na wenyewe wa Pwani....sisi wengine tubaki na lugha zetu za asili....national language iwe Kingereza otherwise tubaki hivi hivi bilingual tubahatishe pande zote!
 
Back
Top Bottom