Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,304
- 14,913
Wakuu habari na poleni na kifo cha mpendwa wetu
Hoja yangu Leo iko hapa juu ya uwongo wa viongoz wetu ambao hawana haya Wala Soni Tena ndan ya nyumba ya kuabudu wanaudanganya umma wa watanzania juu ya hali ya Kiongoz wetu wa nchi kuwa yupo salama tu huwa najiuliza Kama wanadanganya ndan ya nyumba za ibada je wakiwa huku nje mangap wanayoongea n ya kweli
Wito wangu kwa wananchi wenzangu tuwe macho na kauli za viongozi wetu kwan hawana hofu Tena ya Mungu tusishangilie kila kitu wasemacho hawa watu tuchuje kauli zao
Nimeamin ile kauli ya wahenga kuwa MWANASIASA AKIKUAMBIA SASA N USIKU TOKA NJE UHAKIKISHE KAMA KWELI NI USIKU