Kama Kiongozi anadanganya ndani ya nyumba ya ibada, nje itakuwaje?

Peramiho yetu

JF-Expert Member
May 25, 2018
2,447
2,000
Wakuu habari na poleni na kifo cha mpendwa wetu

Hoja yangu Leo iko hapa juu ya uwongo wa viongoz wetu ambao hawana haya Wala Soni Tena ndan ya nyumba ya kuabudu wanaudanganya umma wa watanzania juu ya hali ya Kiongoz wetu wa nchi kuwa yupo salama tu huwa najiuliza Kama wanadanganya ndan ya nyumba za ibada je wakiwa huku nje mangap wanayoongea n ya kweli

Wito wangu kwa wananchi wenzangu tuwe macho na kauli za viongozi wetu kwan hawana hofu Tena ya Mungu tusishangilie kila kitu wasemacho hawa watu tuchuje kauli zao

Nimeamin ile kauli ya wahenga kuwa MWANASIASA AKIKUAMBIA SASA N USIKU TOKA NJE UHAKIKISHE KAMA KWELI NI USIKU
 

luangalila

JF-Expert Member
Jan 12, 2014
3,539
2,000
Ila mhe.alisema ivi jemsdari wetu yupo salama anaendelea vizuri kuchapa kazi

Sasa hapo kadanganya vipi ?
 

Peramiho yetu

JF-Expert Member
May 25, 2018
2,447
2,000
Ila mhe.alisema ivi jemsdari wetu yupo salama anaendelea vizuri kuchapa kazi

Sasa hapo kadanganya vipi ?
Kama alikuwa imara mkuu katika msiba cdf alisema waliweka appointment ili tar 10 Machi waonane lakn mkuu alimwambia wasogeze hajisikii vizur na jk ilibid akabidhiwe nyumba na kipenz chetu jpm lakn haikuwezekana huon Kama jamaa alijua anatupiga fix hadharan Tena mbele ya mimbari kabisa
 

mkupuo

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
1,390
2,000
Ingekuwa ktk jamii zilizoendelea kama ulaya,Marekani na Kanada mtu angekuwa kaenda home kittambo lakini bongo tunachukulia poa!
 

Nyaka-One

JF-Expert Member
Oct 27, 2013
3,605
2,000
Na yule wa Mbeya aliyesema alizungumza nae kwenye Simu alikuwa anzungumza na maiti?
Lakini naona yule kwa maneno na vitendo vyake si wa kumlaumu sana maana uwa anaonekana ni keychaa fulani hivi.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom