moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 125,733
- 690,674
Nashangaa sana, unaendesha mambo gizani halafu unakuja kujisifia hadharani.Ukishaona serikali inaendesha mambo kwa siri na ukihoji unatekwa na kupelekwa Guantanamo. Ukiona nepotism imetamalaki jua something smells fishy.
CAG ameweka vitu bayana wanalalamika maana wamezoea usiri.