ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 19,669
- 28,094
Aaah mwandishi alipitiwaa ....but all in all acheni kula chips ...kama na ww ni mmoja wapoSi wote wanaozikwa wakiwa ndani ya masanduku. Wengine majeneza yetu ni reusable. Kumbuka hilo.
Aaah mwandishi alipitiwaa ....but all in all acheni kula chips ...kama na ww ni mmoja wapoSi wote wanaozikwa wakiwa ndani ya masanduku. Wengine majeneza yetu ni reusable. Kumbuka hilo.
Aaah mwandishi alipitiwaa ....but all in all acheni kula chips ...kama na ww ni mmoja wapo
Nnauhakika tatizo siyo chips, tatizo itakuwa ni mafuta yanayotumika kupikia hizo chips.
Kama yanatoka China, tegemea ni haya:
Wanaume Wa Dar hadi tembea Yao wanakera,Kabla ya kufa mwili wote, hayo madume ya Dar yanaanza kufa dusherere. Yaani karaha tupu, tunalala nayo kama kaka zetu, shughuli kwa mbaaaali!
Kweli kabisa ...Amefikiria upande mmoja tu.Si wote wanaozikwa wakiwa ndani ya masanduku. Wengine majeneza yetu ni reusable. Kumbuka hilo.
Yanabaki kuuliza uko wapi na nani unafanya niniKabla ya kufa mwili wote, hayo madume ya Dar yanaanza kufa dusherere. Yaani karaha tupu, tunalala nayo kama kaka zetu, shughuli kwa mbaaaali!
Hapana.The reasoning of stupid people who do not know the meaning of life... upo duniani kwa muda maalumu na kwa kazi maalum.. na ikitimia unaenda zako, whether ule mawe au misumari.. tunajisahau sana wakat mwingine mtu anajiona kama ataishi milele, kifo ni kile kile na machungu ya uhai kutoka ni yale yale. Whether unakufa leo, au utakufa miaka 10 kutoka sasa it doesnt make you any better..
Hata wauza sanda watanufaika pia....Si wote wanaozikwa wakiwa ndani ya masanduku. Wengine majeneza yetu ni reusable. Kumbuka hilo.
Huna lolote unataka tu muuze gazeti na wala hatununui kama umeshindwa kuiweka hiyo habari hapa. Basiiii
Lengo lenu limetimia kwa kiasi fulaniHata hivyo Copy zote 43,713 tulizotoa leo zimeisha mapema tu ya Saa 3 na dakika 3 hadi kuvunja kabisa rekodi. Watanzania wanaogopa sana Kufa hivyo wengi wao wamewahi kulinunua hilo Gazeti la The Guardian la leo.