Kama kilichoandikwa na The Guardian la leo ni kweli basi wauza Majeneza wa Dar watapata Super Profit

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
36,914
2,000
Hili halipingiki kabisa na wala halihitaji sijui akina TWAWEZA wala akina Professor Mruma na Professor Osoro kulifanyia Utafiti kuwa 95% ya Wakazi wa Dar es Salaam ( ukiondoa Mimi tu Mjanja ambaye nipo huku Kwetu Mkoani Gisenyi nchini Rwanda ) chakula chao / chenu Kikuu ni Chips tena kuna wengine huanza kuzila na Chai ya asubuhi.

Hivyo basi kwa Utafiti / Uchunguzi wa kitaalam kabisa ambao majibu yake yapo katika Gazeti la The Guardian la leo tarehe 17th June 2017 naona kuna Fursa moja kubwa mno inakuja hasa Jijini Dar es Salaam ya Kuuza Majeneza kwani muda wowote kuanzia sasa Wakazi wengi wa Mkoa wa Dar es Salaam wataanza Kupukutika kwa Kufa.

The Guardian la leo wameandika hivi katika front page yao nami nanukuu tu Headline yao " Eating Chips twice a Week can double your chance of death " mwisho wa Kunukuu. Ukitaka ujue ni jinsi gani utakavyoanza Kufa kwa kupenda Kwako kula Michips hovyo hovyo basi tafuta nakala yako ya The Guardian ili utiririke na userereke nalo vizuri.

Mnaokula Chips hovyo hovyo na 24/7 nawatakieni Vifo vyema na hakikisheni tu kuwa huko mnapotutangulia basi mnatuwekea pia na sisi Wajanja ambao hatuli Chips na hatufi leo wala kesho na kama ikitokea tumekufa basi huo pia ndiyo utakuwa mwisho wa dunia.

Nawasilisha.
 
jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,392

Umeathiriwa na vita vya kimbari.
Una kitu inaitwa hallucinations
 
GUSSIE

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
3,029
2,000
Chips ukila zinahitaji mazoezi makubwa ya mwili sana sana,La sivyo zinasababisha sana magonjwa ya moyo hasa mshutuko,Ukibonge sio shida sana shida unene wa style ipi ule wa kutembea mapaja yanasuguana na kuchubuka au ule wa kushindwa kufunga viatu wakati wa kuvaa.Chipsi ni shidaaa sana ingawa ni chakula cha haraka ile madhara yake makubwa sana,Hakuna tofauti ya kunywa mafuta nusu lita na kula chipsi sahani moja,bora unywe mafuta ya kupikia hata kikombe kimoja kama unapenda chipsi kuliko chipsi zenyewe
 
Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
9,621
2,000
Mnaokula Chips hovyo hovyo na 24/7 nawatakieni Vifo vyema na hakikisheni tu kuwa huko mnapotutangulia basi mnatuwekea pia na sisi Wajanja ambao hatuli Chips na hatufi leo wala kesho na kama ikitokea tumekufa basi huo pia ndiyo utakuwa mwisho wa dunia.
Hapo kwenye red, issue ni kula chips ovyo ovyo, au kula zaidi ya mara moja kwa juma.
 
charty

JF-Expert Member
Oct 28, 2013
7,363
2,000
Tuacheni maskhara ulaji wa chips si kigezo cha kuwa mlegevu shughulini...inategemea na asili ya mtu! aisee kuna wanaume wa Dar wengine ni noma kwa kusimamia ukucha.
 
eddybr

JF-Expert Member
Jan 3, 2017
270
250
We jamaa unaamini kila inachokisoma. Bila hata kukielewa.
Hiyo comment ya Guardian so kwamba inaishia hapo tu.
Si kweli kula chips kunadouble risk ya kufa.

Na hiyo comment haiwezi Ku apply kwa chips zoote

Labda kama hizo chips husika zina sumu..
. na hara kama zipo zenye sumu hazitaweza kuapply kwa kila mmoja sawasawa.

Hivyo usitishe watu. Maana wapo wasiozila ila hivyo wanavyovila vinawaongezea pia risk ya kufa
 
Mshuza2

JF-Expert Member
Dec 27, 2010
7,785
2,000
Tuacheni maskhara ulaji wa chips si kigezo cha kuwa mlegevu shughulini...inategemea na asili ya mtu! aisee kuna wanaume wa Dar wengine ni noma kwa kusimamia ukucha.
Hongera kwa kuonesha experience uliyonayo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom