Lakasa chika7
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 454
- 1,264
Kama JK leadership style haijatuathiri sana wananchi. Tumeona jinsi ilivyo vigumu kumcontrol mtu mkali akiwa pale ofisi kuu. Tunaona madhara ya kuwa leader ambaye ni adminstrator. Tunaona madhara ya kiongozi kuogopwa na wasaidizi wake. Tunaona madhara ya mkubwa kuwa mkali sana inavyopelekea wasaidizi kuwa waoga sana kufanya maamuzi. Tunaona jinsi gani wasaidizi nao wanataka kuwa kama mungu watu, mfano kijana wetu wa mkoani Dar.
Next time tunahitaji Rais mpole, mtoto wa mjini, mwanadiplomasia. Kwa vijana hawa wengine hakuna zaidi ya Makamba. Makamba ni smart sana. Kama humjui unaweza ukamchukulia poa. Makamba mzuri sana, hawezi kutukana.
2025 angalau wananchi tupumue aisee maana now hata ukiwa bar ikifika sa tano tu polisi wanapitapita.
Takwimu zisizo rasmi zinaonesha marais watoto wa mjini( Wajanja wajanja) performance yao huwa nzuri sana.
Twendeni na msela Makamba.