Kama kawa kama dawa muda wote mpo kwenye mitandao ya kijamii ,je kazi mnafanya mida gani?

inswengwe

Member
Jun 15, 2017
14
16
20171203_114545.jpg
 
Kuwepo kwenye mtandao inawezekana ikawa nayo ni kazi,usiwe na fikra mgando.
 
Pambana na maisha yako, wengine mitandaoni ndio kazini mwao.

We unafikiri kama kijijini kwenu wakulima kila mtu mkulima?
 
Back
Top Bottom