Kama kauli hii kaisema Mzee Bulembo, naomba wana CCM watunukiwe tuzo ya unafiki uliotukuka

Sio unafiki, ndivyo CCM inavyotawala. Leo mnashangilia akina HP wakinyooshwa badala ya hoja zake! Hata wakati wa JPM tuliwatetea akina Nape sababu ya tofauti yake na JPM na sio hoja zake.

CCM itatawala milele namna hii na tukishtuka Mbowe kahukumiwa kwa ugaidi! Focus! Focus! Focus! CCM aliyefariki ni mwenyekiti wao tu! Wanastahili maswali magumu ili tujue chama kipi kilitawala awamu zilizopita.
Naunga mkono hoja. Jamaa wako kwenyee mission yao ya kisiasaa. Mambo yao sio ya kutilia maanani
 
"Serikali ya Hayati Dkt. Magufuli ilitengeneza Maadui wengi na nchi za Kimataifa kupitia Waziri Kabudi ila Serikali ya Rais wa sasa Samia imerejesha Mahusiano mema na Mataifa mbalimbali kupitia Waziri Mulamula" Mzee Bulembo Kada Mwandamizi wa CCM na aliyewahi pia kuwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM.

Chanzo: DarBlogMpya

Kama kumbukumbu zangu hazijapotea ni kwamba ukiwataja Viongozi Watatu bora ambao walikuwa Wakimpamba / Wakimsifia sana Hayati Rais Dkt. Magufuli na kusema hakuna kama Yeye Tanzania Mzee huyu Kada wa CCM Abdallah Bulembo hakosekani ila ghafla leo hii kaamua kupiga U-turn ya Hatari.

KEROZENE natamani sana Tanzania tuje na Sheria ya KUNYONGWA HADI KUFA KWA WANAFIKI WOTE hasa hasa ndani ya Chama Tawala CCM.
Watu huwa hawasifii toka moyoni wanasifia kupata teuzi na maslahi binafsi, hakuna mwenye nia njema na Tanzania hata mmoja zaidi ya kupiga pesa
 
Mzee Bulembo akiwa bungeni alitamka kuwa watu kama zito wanaomchallenge magufuli wanatakiwa wanyongwe, mapenzi yake kwa jpm yalikuwa hatari, wala hakujali kuwa zito ni mkwewe.

Lakini bila shaka njaa imeanza kumuuma
Kwamba una amini bulembo ana njaaa.labda ungeniambia ulafi
 
kiswahili kigumu mzee....niseme alizoea kupata vya bure pasipo kufanya kazi na kuhangaisha akili. sasa hivi inalazimika atumie nguvu na akili. ameanza kulalama
Najua, ila hawa wazeee wamejilimbikizia mali za kutosha kiasi hata bilaa kupiga hizo porojo wangeishi tuu fleshi.

Tatizo lao kuubwaa ni ulafi.kutaka kupata hata ambavyo hawana matumizi navyo
 
Sio unafiki, ndivyo CCM inavyotawala. Leo mnashangilia akina HP wakinyooshwa badala ya hoja zake! Hata wakati wa JPM tuliwatetea akina Nape sababu ya tofauti yake na JPM na sio hoja zake.

CCM itatawala milele namna hii na tukishtuka Mbowe kahukumiwa kwa ugaidi! Focus! Focus! Focus! CCM aliyefariki ni mwenyekiti wao tu! Wanastahili maswali magumu ili tujue chama kipi kilitawala awamu zilizopita.
Nimepemda hiki ulichoandika hasa hapo uliposema "CCM ndivyo inavyotawala" niongezee kidogo...

Kuwa mpinzani nchi hii naona kunahitaji akili zaidi, unaweza ukajiita mpinzani halafu ukajikuta unacheza ngoma ya CCM bila kujua, kumponda Polepole leo kwa sababu ya kile alichowahi kukisema wakati wa Magufuli hakuhalalishi anayofanyiwa sasa, sharti la hoja ijibiwe kwa hoja, hii tabia ya hoja kujibiwa kwa vijembe na kejeli ndio inayowakuta wapinzani mara nyingi tunapiga kelele wasiumizwe au vyovyote vile ila wajibiwe..

Lakini leo wapinzani wale wale wanaotaka hoja zao ziwe zinajibiwa kwa hoja, ndio wakwanza kumkaanga Polepole kwamba hastahili kujibiwa kwa hoja kwasababu aliwahi kuwa against nao au alifanya nini wakati uliopita.

Hawakumbuki kama Polepole asipojibiwa nao wataendelea kutojibiwa kwasababu ndio tabia ya CCM, na kwa kufanya hivyo ni sawa na kuiunga mkono serikali ya sasa kuendeleza tabia za kidhalimu mbele ya wapinzani wake.

Nimegundua upinzani is an art, usipojua kuzicheza vyema karata zako ni rahisi sana kuchotwa na adui yako ukajikuta unampa support bila kutambua.

Baada ya kufuatilia michango mingi ya wapinzani kwenye hii issue ya Polepole ni Mch. Msigwa pekee kule twitter ndie aliejielewa na akasimamia anachokiamini, lakini wengine wote including mwandishi aliekimbilia Uswisi wanacheza ngoma ya CCM.

Simply ukipigania haki ipiganie kwa wote bila kujali sura zao au itikadi zao, kinyume na hapo utaonekana selfish usiejitambua unaejiona bora zaidi ya wengine.
 
"Serikali ya Hayati Dkt. Magufuli ilitengeneza Maadui wengi na nchi za Kimataifa kupitia Waziri Kabudi ila Serikali ya Rais wa sasa Samia imerejesha Mahusiano mema na Mataifa mbalimbali kupitia Waziri Mulamula" Mzee Bulembo Kada Mwandamizi wa CCM na aliyewahi pia kuwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM.

Chanzo: DarBlogMpya

Kama kumbukumbu zangu hazijapotea ni kwamba ukiwataja Viongozi Watatu bora ambao walikuwa Wakimpamba / Wakimsifia sana Hayati Rais Dkt. Magufuli na kusema hakuna kama Yeye Tanzania Mzee huyu Kada wa CCM Abdallah Bulembo hakosekani ila ghafla leo hii kaamua kupiga U-turn ya Hatari.

KEROZENE natamani sana Tanzania tuje na Sheria ya KUNYONGWA HADI KUFA KWA WANAFIKI WOTE hasa hasa ndani ya Chama Tawala CCM.
1639380134815.png

1639380172964.png

DAR ES SALAAM (Reuters) - Tanzania and UK-based mining firm Kabanga Nickel Limited signed a framework agreement on Tuesday to jointly develop the Kabanga nickel project formerly owned by Barrick Gold and Glencore.

Foreign minister Palamagamba Kabudi said during a signing ceremony in Bukoba that the government would own a 16% undiluted free-carried interest in the nickel project through a new joint venture company, Tembo Nickel Corporation, 84% owned by Kabanga Nickel.

Bulembo ni darasa la 7, asaidiwe kupata watu wanaoweza kumfanyia tafsiri ya kazi alizofanya Prof. Kabudi wakati akiwa waziri wa mambo ya nje kwenye kuongoza negotiations za kupata hisa 16% na GoT kuwa kwenye management team ya Twiga company na January GoT kuwa sehemu ya Tembo corporation.

Tuna imani na ubobevu wa balozi Mulamula, ila akiendeleza economic diplomacy kwa vitendo kama Profesa kabudi basi, Watanzania tutamshukuru sana kwa utumishi wake akiwa madarakani au baadae.

Ila ikibaki story story tu za economic diplomacy za kushabikiwa na akina Bulembo halafu hamna cha kuonesha ambacho kimefanyika na serikali kuwa shareholder hasa kwenye mining sector, loh; halitakuwa jambo jema.

1639381128496.png

...Mwanza Precious Minerals Limited is jointly owned by Stamico (25 per cent) and two foreign companies, ROZZELA General LLC of Dubai in the United Arab Emirates (UAE) and ACME Consultant Engineers PTE Limited from Singapore (RGTACE), which jointly own 75 per cent.
 
"Serikali ya Hayati Dkt. Magufuli ilitengeneza Maadui wengi na nchi za Kimataifa kupitia Waziri Kabudi ila Serikali ya Rais wa sasa Samia imerejesha Mahusiano mema na Mataifa mbalimbali kupitia Waziri Mulamula" Mzee Bulembo Kada Mwandamizi wa CCM na aliyewahi pia kuwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM.

Chanzo: DarBlogMpya

Kama kumbukumbu zangu hazijapotea ni kwamba ukiwataja Viongozi Watatu bora ambao walikuwa Wakimpamba / Wakimsifia sana Hayati Rais Dkt. Magufuli na kusema hakuna kama Yeye Tanzania Mzee huyu Kada wa CCM Abdallah Bulembo hakosekani ila ghafla leo hii kaamua kupiga U-turn ya Hatari.

KEROZENE natamani sana Tanzania tuje na Sheria ya KUNYONGWA HADI KUFA KWA WANAFIKI WOTE hasa hasa ndani ya Chama Tawala CCM.
Hiyo ni kweli kabisa Gentamicin,una ID ngapi mkuu?
 
ndo ujuage tumbo la binadamu halina shukrani

Mgaa gaa na upwa ?
Mtembea bure sisawa na......
 
"Serikali ya Hayati Dkt. Magufuli ilitengeneza Maadui wengi na nchi za Kimataifa kupitia Waziri Kabudi ila Serikali ya Rais wa sasa Samia imerejesha Mahusiano mema na Mataifa mbalimbali kupitia Waziri Mulamula" Mzee Bulembo Kada Mwandamizi wa CCM na aliyewahi pia kuwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM.

Chanzo: DarBlogMpya

Kama kumbukumbu zangu hazijapotea ni kwamba ukiwataja Viongozi Watatu bora ambao walikuwa Wakimpamba / Wakimsifia sana Hayati Rais Dkt. Magufuli na kusema hakuna kama Yeye Tanzania Mzee huyu Kada wa CCM Abdallah Bulembo hakosekani ila ghafla leo hii kaamua kupiga U-turn ya Hatari.

KEROZENE natamani sana Tanzania tuje na Sheria ya KUNYONGWA HADI KUFA KWA WANAFIKI WOTE hasa hasa ndani ya Chama Tawala CCM.
Bulembo atuambie fedha za malipo ya mauzo ya mali za Jumuiya ya Wazazi ya CCM ikiwemo mashule kadha ya sekondari ziko wapi? Ni kiduchu tu zimeingia Jumuiyani. Yeye ndiye aliyekuwa Mwenyekiti.
 
Back
Top Bottom